petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 803
- 937
KhaKwa KUFURU HII NINAMFUTA KATIKA SIASA ZA TANZANIA;
kila atakaloongea litakua kichefuchefu kwa Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KhaKwa KUFURU HII NINAMFUTA KATIKA SIASA ZA TANZANIA;
kila atakaloongea litakua kichefuchefu kwa Watanzania
Ndio hivyo mkuu
Hivi Leo ni siku ya ngapi Masiah hajafufuka? Au huyu wa Lumumba anafufuka baada ya miezi 3?Rest in peace Mesiah wa watu....
Acha tu, yani hadi sahivi simuelewi Askofu wangu sijui anatuonaje sie waumini wa ufufuko na uzima....kweli kashindwa kumfufua mtu?!!!Hivi Leo ni siku ya ngapi Masiah hajafufuka? Au huyu wa Lumumba anafufuka baada ya miezi 3?
Labda hajapata maono, mvumilieni.Acha tu, yani hadi sahivi simuelewi Askofu wangu sijui anatuonaje sie waumini wa ufufuko na uzima....kweli kashindwa kumfufua mtu?!!!
Hiki kitendo kitampunguzia sadakaLabda hajapata maono, mvumilieni.
Yesu alimfufua Lazaro, sababu mojawapo ikiwa ni urafiki wao. Sasa sijui huyo Askofu wako hakuwa rafiki wa marehemu?Hiki kitendo kitampunguzia sadaka
Ni zaidi ya marafiki "ni wa nyumbani kabisa"Yesu alimfufua Lazaro, sababu mojawapo ikiwa ni urafiki wao. Sasa sijui huyo Askofu wako hakuwa rafiki wa marehemu?
Askofu Chidi ni mhuni kama wahuni wengine tu.Acha tu, yani hadi sahivi simuelewi Askofu wangu sijui anatuonaje sie waumini wa ufufuko na uzima....kweli kashindwa kumfufua mtu?!!!
Mzee wa "kupanua huduma"Askofu Chidi ni mhuni kama wahuni wengine tu.
Askofu Chidi njoo huku muumini wako anakutafuta...!!!Mzee wa "kupanua huduma"
Mwenyezi Mungu achana naye kabisa!Mathayo 11:2-26
Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona kuwa:
NB: Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami.
- Vipofu wanaona,
- viwete wanatembea,
- wenye ukoma wanatakaswa,
- viziwi wanasikia,
- wafu wanafufuliwa na
- maskini wanahubiriwa Habari Njema.
Wapinzani nao wakiwa gerezani wakawatuma wakereketwa wao kwenda kumuuliza Magufuli kuwa, ndi yeye yule Mesia wa Tanzania tuliekuwa tunamsubiri au tumngoje mwingine?
Magufuli akawajibu, Waambieni wapinzani kuwa:
NB: Heri yake yey asiye na mashaka na seikali ya awamu hii ya tano
- Mabarabara yamejengwa na yanajengwa
- Madaraja na vivuko vimejengwa na vinajengwa
- Viwanda vinajengwa
- Hospitali zinajengwa
- Uchumi unajengwa
- Reli ya kisasa inajengwa
- Bwawa la umemela Julius Nyerere Hydropower Dam huko Stigler Gorge
- Uthibiti wa Mapato ya Nchi
- Vita dhidi ya rushwa
- Wafanyakazi hew ana mishahara hewa
- Wanafunzi hewa
- Shirika la ndewge kufufuliwa
- Shirika la reli kufufuliwa
- Wizi Katika sekta ya madini kudhibitiwa
- Mikataba mibovu kama ile ya bandari ya Bagamoyo kufutiliwa mbali
- Safari hewa za nje kufutwa
- Semina hewa kufutwa
- Viongozi mandazi wabadhirifu, wezi na wavivu kutumbuliwa
- Sekta ya utalii kuboreshwa na kufanywa kuwa rahisi kufanya utalii nchini
- Serikili kuhamia Dodoma
- Urasimishaji wa viwanja nchi nzima unaendelea kwa ufanisi mkubwa
- Kaya maskini zimewezeshwa na zinaendelea kuwezeshwa kupitia bima kwa wazee, maji kwa kaya maskini, TASAF kwa kaya maskini, Mikopoi isiyo na riba kwa walemavu, Akina mama na vijana nchi nzima
- Elimu bure kuanzia awali hadi kidato cha nne
- Mikopo nafuu kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu
- Ada rahisi kabisa kwa wanafunzi wa kidato cha sit ana vyuo vya ufundi
- Miradi mikubwa ya maji nchi nzima mijini na vijijini, mfano ni mradi wa Bilioni 520 Arusha mjini
- Kuwezesha utawala bora, utawala wenye kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa haraka
Mesiah wenu wakuu.Rest in peace Mesiah wa watu....