Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

Duuuuh
 
Najiuliza inakuwaje unatumia nguvu kubwa hivi kumsema mtu ambaye hajaacha legacy!
 
1.Watu waliokufa chini ya mkono wake
2.Ajira
3.Kuwabana sekta binafsi hadi wengine kufunga kampuni na biashara ambapo watu walikosa kazi
4.Kufanya maamuzi bila kushirikisha watu

Roho yake ilale mahala pema peponi.Amen
 
1.Watu waliokufa chini ya mkono wake
2.Ajira
3.Kuwabana sekta binafsi hadi wengine kufunga kampuni na biashara ambapo watu walikosa kazi
4.Kufanya maamuzi bila kushirikisha watu

Roho yake ilale mahala pema peponi.Amen
Amen
 
Nilikopa mkopo kipindi cha Magufuli nifanye biashara, biashara ikafa kwa kukosa wateja. Ndani ya miaka 6 ya Magufuli nilipata annual increment mara moja nadhani ilikuwa 2018. Annual increment ni kapesa kadogo sana, ni kama pesa ya kumpa mwanangu P akatumie shule siku moja.

Wafanyakazi tulikuwa kazi yetu kubwa ni kufanya top up tu.

Niliajiriwa wakati wa JK ilikuwa Juni 30, 2015, mshahara wa kwanza ambao ni wa julai naona nyongeza.

Baada ya hapo mheshimiwa Jiwe akaingia. Mpaka anatoka ni msoto tu. Biashara ilikuwa ngumu sana kipindi chake.

Samia kaingia Machi 2021, Juni tu cheo kipya, kukaa kidogo mshahara mpya, kukaa kidogo cheo kipya, kukaa kidogo mshahara mpya.

Yaani sasa hivi ukifanya biashara inastawi, roho ya mapooza ilishakufa 2021 Machi. Mshahara umeongezeka mara dufu. Halafu anatokea mtu anasema niandamane.

Kipindi cha Magufuli ningeandamana maana sababu zilikuwa nyingi.

Hayo maandamano ya kuasisiwa na makahaba andamaneni nyie.
 
Kuna wakati nilijuaga wewe ni mtu makini sana lakini nimekuja gundua .
Uchawa huu nibkwa sababu ya malupulupu.

Kuanzia leo officially nkukribisha kwenye ulimwengu wangu wa IGRORED people.

Karibu sana.
 
Vipi mkuu kati ya Samia the butcher na magufuli nani kaua demokrasia na diplomasia!?
 
Aliacha legacy ya kuuwa watu na wengine kuwaacha vilema. Ni raisi wa kwanza kuwa raisi bila kushinda uchaguzi mara mbili.
Vipi mkuu kati ya Samia na magufuli nani kauwa watu wengi,,,idadi ya waliouliwa na magufuli haijulikani ila kwa Samia hadi sasa ni 10,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…