Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

Kila binadamu huwa ana mazuri yake na mabaya yake, Kwahiyo umeokoteza mabaya tuu, nakuyaacha mazuri yake ambayo ni mengi mno kuliko hayo uliyoandika,kwahiyo hapo ni chuki za kishamba tuu zinakusumbua 😂😂😂
 
Tupe mazuri yake tuone
 
Kila binadamu huwa ana mazuri yake na mabaya yake, Kwahiyo umeokoteza mabaya tuu, nakuyaacha mazuri yake ambayo ni mengi mno kuliko hayo uliyoandika,kwahiyo hapo ni chuki za kishamba tuu zinakusumbua 😂😂😂
Ungetumia huu muda wako kuandika mazuri hata matano tu bro kuliko kuandika hewa. Umekosa legasi hata moja?
 
Je demokrasia imerudi? 😅😅
Hapa usimuonee Magu tu
 
Kwenye Pointi hii hujataka kabisa kutaja hali ya sasa😅😅
 
Unakatwa na DP WORLD
 
Ni kichaa,mwendawazimu,jizi na fisadi pekee ambalo halioni mazuri ya JPM
 
Ameacha legacy ya utekaji,kupotea Kwa watu kama Ben Saa8!
 
Kitu kimoja umekinajisi ni neno 'Legacy'. Kwa taarifa kitu kiwe kizuri sana au kibaya sana, kina acha legacy. Hitler aliacha legacy na Yesu Kristo au Mtume Muhammad aliacha legacy.
 
Ni mtu mjinga tu anayefikiri mpinzani anaweza kupata kura nyingi zaidi ya mgombea wa CCM.
Ni mwendawazimu tu anaweza kufikiri wagombea wa ccm wanashinda kwa kupigiwa kura. Ingekuwa hivyo tungekuwa tiyari tuna katiba mpya na tume huru.
 
Kama hakushinda mbona alitangazwa na tume au ulikua kijijini kwenu ishokela hukusikia
Yani mtu aliye mteuwa yeye mwenyewe ,anawezaje kushindwa kumtangaza? Kama tungekuwa na tume huru Magufuli asinge kuwa raisi hata dakika moja. Huwenda hata ubunge angeusikia tu radion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…