Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

9. Magufuli alihujumu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020
Mtu mwenye akili timamu anajua wazi kuwa CCM haiwezekani kushinda vitongoji, vijiji/ mitaa, kata na majimbo yote
Lakini Kwa Magufuli alifanya hivi kuiba na kudhulumu Imani ya Watanzania
Hii hata Samia ameiga kwa 100%
 
Sitaki kuongea mengi ila kifo cha Ben Saanane,Azory kupigwa risasi kwa T.L sijawahi kukikubali na sitakaa nikikubali.Fikiria maumivu waliyopitia wazazi wa hawa watu?Uko unakenua meno Shujaa Shujaa angekuwa wewe ni ndugu yako kaokotwa kwenye sandarusi ungecheka kama unavyocheka hapo sasa hivi.Alikuwa na mzuri ila haya ya kuua watu hapana asante na huenda ndio maana ilimfanya akafia madarakani damu,machozi na vilio vya watu!I hope alitubu before he died.RIP nitakukumbuka kwa mema ila ili la kuua halipaswi kuigwa hata kidogo!
 
😀😀 muacheni mzee wa watu amepumzika huko

1. Kawaachia SGR mmeifikisha wapi
2. Kawaachia mradi wa umeme Vijijini REA kwa 27000 saivi umepanda hadi 325,000
3. Kawaachia daraja la busisi hadi saivi limefikia wapi..?
4. Vipi ule mradi wa umeme wa mwalimu nyerere uliokua mkombozi kwa mwananchi kwa kupunguza bei naona unaendelea vizuri

Kweli magufuli alikua mjinga sana 😢
SGR kaicha morogoro sasa hivi imesha fika dodoma, daraja la busisi kaliacha limejegwa kwa %40 sasa hivi limesha kamilika kwa %99,mradi wa bwawa la umeme aliuacha kwenye %45 mpaka sasa umekamilika.
Mradi wa REA haukuanzishwa na Magufuri bali ulianzishwa na kikwete alafu hakuna sehemu yeyote kijiji inayo unagishwa kwa hiyo 325000 unayo isema acha uongo.
 
Nadhani legacy ya uongozi wake ni

1.kuwapenda na kuwapigania maskini kiasi cha kuweza kuheshimika hata katika ofisi za serikalini ambazo wasingeweza kuzingatiwa au kujaliwa bila kutoa chochote kitu.

Japo ilikuwa ni nidhamu ya uoga kwa watumishi ili kuogopa kuwajibishwa ila sikumbuki kipindi ambacho hata TANESCO walikuwa on time kama chake.

2. physical infrastructures, alijitahidi kiasi chake kurekebisha masoko, vituo vya mabasi, madaraja, train, mahospitali, majengo ya mahakama etc ambao ulileta mgawanyo wa maendeleo kuliko zamana ambapo kila kilicho kizuri kilijengwa dar. Ndio maana kipindi chake, alidhamiria wazi kuhamisha makao makuu ya nchi kwa kuanzisha na kuujenga mji wa serikali..

3. Inflation rate, kipindi chake alitumia contractionary fiscal policy ambayo hakuingiza pesa kwa wananchi kwa kutokutoa ajira lakini pia kupambana na janja janja za biashara na hivyo kupelekea mfumuko wa bei za vitu kuwa nafuu. Ndicho kipindi japo mzunguko wa pesa ulikuwa mdogo ila bidhaa nyingi hazikupanda kiholela.. Labda uhaba ukitokea kama kile kipindi cha sukari

4. Magufuli alikuwa pan africanist ambaye hakupenda mikataba mibovu tuliyoiongizwa na marais baadhi katika rasilimali zetu. Ubaya alitumia njia ya mabavu kuvunja mikataba ambayo leo ili kurudisha good will na capitalists imebidi nchi ilipe rundo la fedha kisheria...

5. Kiuhalisia aliandaa mazingira ya kulinda rasilimali kiasi hata ujangili ulishuka kiasi cha wanyama kuongezekana na kuvamia makazi ya watu frequently, kitu ambacho kwa sasa hakipo. Lakini pia alitaka gas ya helium na rasilimali ambazo zimegunduliwa hivi karibuni ziingizwe kwenye mikataba fair ili ivinufaishe vizazi vijavyo. Japo sijui ni nini kimeendelea

6. Alipunguza ujambazi kwa kiasi kikubwa na hata vitu vilivyotishia usalama kama case ya kibiti na mtwara vyote aliviweza.. Alikuwa man of his words asieogopa kirahisi

Ana mabaya yake na mazuri pia ambayo siwezi kuyamaliza.. Sikuwahi kuwa fan wake japo kuna vingi vizuri niliviona kwake ila kikubwa alikuwa na clear vision ya Tanzania anayoitaka

So kusema hakuacha legacy, utakuwa unamuonea
Njia pekee ya kuwapigania na kuwapenda masikini kuweka mikakati ya kuwatoa hao masikini kwenye hali hiyo ya umasikini, maana umasikini sio sifa.

Alafu acha uongo eti kipindi cha Magufuri vitu havikupanda bei? kitu pekee alicho weza Magufuri ni kuuwa soko la mazao ya wakulima yakawa yanaozea shambani lakini bidhaa za viwandani zilikuwa zinapanda kila siku.
Kaingia madarakani akakuta sukari inauzwa 1800 mpaka anakufa sukari kg1 ilikuwa inauzwa 3,000,kakuta mfuko wa siment unauzwa 12000 mpaka anaondoka kaacha mfuko wa siment unauzwa 22,000,kakuta bando la mabati 20 linauzwa 250,000 kaondoka bando la mabati kama hilo likiuzwa 370,000,kakuta nondo moja inauzwa 16,000 mpaka anaondoka kaacha nondo 1 inauzwa 22,000,alikuta box la tairizi ni 22000 mpaka anaondoka kaliacha box la tairizi ni 35,000,
Sasa niambie ni vitu gani hivyo vilivyo kuwa vinauzwa kwa bei ya au ww ulikuwa anafurahi kununua gunia la mahindi kwa 40,000 na kilo ya mchele kwa buku bila kujua wakulima walikuwa wanalia machozi cha damu?

Kuhusu huo ujambazi hapo nakubaliana na ww kipindi chake aliwakomesha hao wahuni hasa baada ya kuwaamuru polisi kuwapiga lisasi kwa hapo aliupiga mwingi.
 
SGR kaicha morogoro sasa hivi imesha fika dodoma, daraja la busisi kaliacha limejegwa kwa %40 sasa hivi limesha kamilika kwa %99,mradi wa bwawa la umeme aliuacha kwenye %45 mpaka sasa umekamilika.
Mradi wa REA haukuanzishwa na Magufuri bali ulianzishwa na kikwete alafu hakuna sehemu yeyote kijiji inayo unagishwa kwa hiyo 325000 unayo isema acha uongo.
Duuh
 
Njia pekee ya kuwapigania na kuwapenda masikini kuweka mikakati ya kuwatoa hao masikini kwenye hali hiyo ya umasikini, maana umasikini sio sifa.

Alafu acha uongo eti kipindi cha Magufuri vitu havikupanda bei? kitu pekee alicho weza Magufuri ni kuuwa soko la mazao ya wakulima yakawa yanaozea shambani lakini bidhaa za viwandani zilikuwa zinapanda kila siku.
Kaingia madarakani akakuta sukari inauzwa 1800 mpaka anakufa sukari kg1 ilikuwa inauzwa 3,000,kakuta mfuko wa siment unauzwa 12000 mpaka anaondoka kaacha mfuko wa siment unauzwa 22,000,kakuta bando la mabati 20 linauzwa 250,000 kaondoka bando la mabati kama hilo likiuzwa 370,000,kakuta nondo moja inauzwa 16,000 mpaka anaondoka kaacha nondo 1 inauzwa 22,000,alikuta box la tairizi ni 22000 mpaka anaondoka kaliacha box la tairizi ni 35,000,
Sasa niambie ni vitu gani hivyo vilivyo kuwa vinauzwa kwa bei ya au ww ulikuwa anafurahi kununua gunia la mahindi kwa 40,000 na kilo ya mchele kwa buku bila kujua wakulima walikuwa wanalia machozi cha damu?

Kuhusu huo ujambazi hapo nakubaliana na ww kipindi chake aliwakomesha hao wahuni hasa baada ya kuwaamuru polisi kuwapiga lisasi kwa hapo aliupiga mwingi.
Duuh....alipiga risasi akina nani?
 
Umechambua vyema
 
Hakuta kuja tokea kiongozi wa aina ile tena.
Alikuwa tishio kwa mafisadi, wala rushwa na walevi na malaya wa madaraka.
Hata kuondoka kwake, ni mpango ulifanyika.

Sasa wako huru, wanaimba nyimbo za kutukuza na kuabudu na ma pambio sio juu ya raisi wao.
Ni juu ya udhaifu wake

Alikuwa tishio la mafisadi lakini cha kushangaza mpaka anaondoka madarakani hakuna fisadi hata moja lililo fungwa wala kufirisiwa hali ya kuwa mafisadi yamejaa kwenye chama chake.

Alikuwa tishio la mafisadi lakini cha kushangaza alimfukuza CAG aliye fichua ufisadi wa tirion 1.5 kwenye serikali yake.
Alikuwa tishio la mafisadi lakini cha kushangaza kwenye utawala wao ndo akina Makonda, na sabaya walijipatia utajiri wa mabilion ya fedha ambao mpaka sasa haijulikani waliupataje.
 
SGR😭😅Gani aliacha ? Bila kumaliza wala kichwa cha train hata kimoja

Mradi wa umeme ni uzalishaji, usambazaji yeye kwenye mradi wa umeme yeye alifanya lipo
Nilidakia kwenye coment ila baada ya kusoma hii coment yako nimegundua umejaza mafi kichwani
 
Duuh....alipiga risasi akina nani?
Njia pekee ya kudhibiti ujambazi ni kwa mtutu wa bunduki tofauti na hapo unajisumbua tu na hilo magufuri aliwaweza kiufupi ujambazi aliukomesha.
 
Back
Top Bottom