Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Tatizo la afya ya akili ni kubwa TanzaniaMleta bandiko andaa michanga na vipande vya vyupa vyupa miksa vipande vya nondo nakuja kukubaka bila huruma maana porojo ni nyingi kuliko pumba...............magufuli sio alikuwa hapendi diplomasia si alikuwa anawapa wana mashavu .........oyaa bro mizengo nenda Brazil.........oyaa sista asha rose niwakilishe 🇬🇧 uk nk..........sasa wewe hiyo propaganda yako umeitoa wapi???bwawa la umeme kaacha limeanza kutengenezwa kwa kasi ya hatari..........ukija treni magu hana mpinzani................sasa anza kuhesabu maraisi wote na walichofanya ............miksa madhambi yao yote mpaka kukopa na matumizi...........kujilimbikizia mali na kuheshimu rasilimali za taifa .................hapo jibu ni MAGUFULI TU..........hata kama kashakufa .........ile ni njia na wote wazuri na wabaya tutaipitia unawezaje kumsema marehemu bila mipaka ...........mwacha apumzike kuna wengi tu tena walibolonga kupita magu ..........mbona wanaishi na wamepata faragha na familia zao...........naaamulu tena ubakwe bila huruma tena safari hii na mabaunsa saba
Ndio hata na wewe waliokuzaa walikuwa hawana akili..........unafikiri kichaa cha mimba mchezo mchezoTatizo la afya ya akili ni kubwa Tanzania
Uozo mkubwa katika historia ya Tanzania ni hiki kiajuza kijizi kutoka nchi ya Zanzibar, kimeshatengeneza mchongo mwingine wa wizi kupitia upigaji wa dili la kununua umeme kutoka Ethiopia. Huo ndiyo uozo unaonuka, Mwendakuzimu ameshaenda zake.Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke
Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo
1. Aliharibu upande wa diplomasia
Magufuli ndo aliwaita wawekezaji mabeberu na kuwaona wabaya na kuwatangazia kila jina baya.
Alisema wazi kwamba yeye hataki Tanzania, hakuwahi kuhudhuria vikao vya kidplomasia popote
Alipika propaganda za uongo ati hakuna covid 19
Baada ya Rais Samia ndo alijitahidi kutembea na kuwaleta wawekezaji ambao Kwa Sasa angalau kidogo tunaona nuru
2. Kuharibu democrasia
Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ili asikike yeye tu ndo propaganda zake za kuita watu wanyonge
Vifo vya wapinzani wengi kama Azzory Gwanda, Ben Saanane n.k
Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu
Kusingizia kesi na kufunga watu waliompinga kama Yusuph Manji na Kabendera
3. kuuwa uchumi wa Taifa.
Magufuli ndo alinunua ndege 8 bila kushirikisha bunge na Kwa maamzi yake binafsi baadae ndege zote zikawa mbovu na kuishia karakana.
Alishindwa kutambua kuwa mahitaji ya wananchi sio ndege Bali ni miundo mbinu ya afya, barabara, madaraja n.k
Alimfukuza makampuni Shindani ya ATCL kama Fast jet
Shirika la ndege lilifirisika na Sasa mama Samia ndo analifufua taratibu
4. Kuzuia ajira Kwa vijana
Magufuli ndo alifungwa ajira za umma, hasa ualimu na afya
Na kusababisha vijana waliotoka kaya masikini kurundikana mtaani bila suluhu
Mamilion ya graduates wako mtaani sababu ya sera mbovu za Magufuli.
Pongezi Kwa Rais Samia anajaribu kupunguza japo mzigo ni mkubwa
5 Kodi Kandamizi
Magufuli aliwakandamiza wafanyabiashara na wananchi Kwa ujumla kulipa Kodi utitiri hapa wafanyabiashara wengi wakifunga biashara na wengine kumhamisha biashara zao kwenye mataifa mengine.
Magufuli alianzisha Kodi Kwa wafanyabiashara wadogo kama kitambulisho ambapo hata muuza mboga alilazimika kulipa Elfu 20 ili afanye biashara
6. Kilimo na uvuvi
Utawala wa Magufuli tulishuhudia kudorora la soko la mazao
Mfano kwetu Kagera tuliuza kahawa kg sh 900 ila kipindi cha Samia tumeuza sh 7000
Magufuli alikuwa sekta ya uvuvi akishirikiana na waziri wake Luhaga Mpina, fika Kanda ziwa, Zanzibar, Nyasa na Kigoma hawataki kusikia jina la Magufuli
7 Matumizi mabaya ya madaraka.
Sio tu Hayati Magufuli alitumia madaraka yake vibaya ila pia wateule wake mfano Sabaya
Sabaya alikata watu vipanja, alichoma watu moto, alinyanganya watu hela na alijisifu kuwa ni DC pekee angeweza kumpigia simu Magufuli usiku wa manane na akapokea
Wakuu wa wilaya walitumia mamlaka Yao vibaya na kuwaweka mahabusu wapinzani Kwa masaa 24 ilikuwa kama fashion kipindi cha Hayati Magufuli
Wala hakukemea
8 Kula hela maafa ya Bukoba
Kipindi cha utawala wake Bukoba walipata tetemeko na akaitisha michango Kwa ajili ya watu wahanga
Cha ajabu aliwakana na kusema serikali haikuleta tetemeko
9. Magufuli alihujumu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020
Mtu mwenye akili timamu anajua wazi kuwa CCM haiwezekani kushinda vitongoji, vijiji/ mitaa, kata na majimbo yote
Lakini Kwa Magufuli alifanya hivi kuiba na kudhulumu Imani ya Watanzania
10. Alianzisha miradi isiyoisha.
Mfano SGR Kwa miaka yote alokaa madarakani mbali na kujenga SGR kipande lakini hakununua hata kichwa kimoja cha train
JNHPP
Huu mradi licha ya kuimbwa na machawa wake, lakini hakuna ulipoufikisha, aliacha mifereji, vifusi na tractor zikiwa site miaka nenda Rudi.
Umeme unajumuisha uzalishaji, kuhifadhi, usafirishaji na usambazaji
Yeye hata hatua ya uzalishaji hakuifikia
Haya ni baadhi tu
Binafsi nasema Magufuli ndo Rais ambaye hakufanya vyema katika utawala wake
RIP Hayati Magufuli
Kuna jambazi hata mmoja alipigwa risasi kipindi cha magu? MtajeNjia pekee ya kudhibiti ujambazi ni kwa mtutu wa bunduki tofauti na hapo unajisumbua tu na hilo magufuri aliwaweza kiufupi ujambazi aliukomesha.
Hii ilimshangaza sana kila mwenye akiliAlikuwa tishio la mafisadi lakini cha kushangaza mpaka anaondoka madarakani hakuna fisadi hata moja lililo fungwa wala kufirisiwa hali ya kuwa mafisadi yamejaa kwenye chama chake.
Alikuwa tishio la mafisadi lakini cha kushangaza alimfukuza CAG aliye fichua ufisadi wa tirion 1.5 kwenye serikali yake.
Alikuwa tishio la mafisadi lakini cha kushangaza kwenye utawala wao ndo akina Makonda, na sabaya walijipatia utajiri wa mabilion ya fedha ambao mpaka sasa haijulikani waliupataje.
Hakuna anaepanga kuwa maskini lakini hii haimaanishi mtu kuwa maskini ni lazma akanyagwe na kunyimwa haki stahiki pamoja na huduma za kijamii..Njia pekee ya kuwapigania na kuwapenda masikini kuweka mikakati ya kuwatoa hao masikini kwenye hali hiyo ya umasikini, maana umasikini sio sifa.
Alafu acha uongo eti kipindi cha Magufuri vitu havikupanda bei? kitu pekee alicho weza Magufuri ni kuuwa soko la mazao ya wakulima yakawa yanaozea shambani lakini bidhaa za viwandani zilikuwa zinapanda kila siku.
Kaingia madarakani akakuta sukari inauzwa 1800 mpaka anakufa sukari kg1 ilikuwa inauzwa 3,000,kakuta mfuko wa siment unauzwa 12000 mpaka anaondoka kaacha mfuko wa siment unauzwa 22,000,kakuta bando la mabati 20 linauzwa 250,000 kaondoka bando la mabati kama hilo likiuzwa 370,000,kakuta nondo moja inauzwa 16,000 mpaka anaondoka kaacha nondo 1 inauzwa 22,000,alikuta box la tairizi ni 22000 mpaka anaondoka kaliacha box la tairizi ni 35,000,
Sasa niambie ni vitu gani hivyo vilivyo kuwa vinauzwa kwa bei ya au ww ulikuwa anafurahi kununua gunia la mahindi kwa 40,000 na kilo ya mchele kwa buku bila kujua wakulima walikuwa wanalia machozi cha damu?
Kuhusu huo ujambazi hapo nakubaliana na ww kipindi chake aliwakomesha hao wahuni hasa baada ya kuwaamuru polisi kuwapiga lisasi kwa hapo aliupiga mwingi.
Kwa hiyo sasa hivyi masikini wakienda kwenye taasisi za uma hawa hudumiwi?Hakuna anaepanga kuwa maskini lakini hii haimaanishi mtu kuwa maskini ni lazma akanyagwe na kunyimwa haki stahiki pamoja na huduma za kijamii..
Magufuli alijitahidi kuwaheshimisha maskini lakini aliweka kitambulisho cha machinga ili maskini wa informal sectors waondolewe usumbufu wa kukimbizwa na migambo lakini pia waingizwe kwenye mfumo wa kulipa kodi kwa sababu wao ndio kundi kubwa la wafanyakazi.
Je, hii ilisaidia kupunguza umaskini "labda" Lakini je, hii ingeleta matokeo chanya "hakuna anaejua kwa sababu hakumalizia mpango wake"
Kuhusu inflation rate nilizungumzia bidhaa ambazo ni za direct consumers ambazo zinahusiana moja kwa moja ustawi wa wananchi.. Kwa hiyo mabati na cement hazipo kwenye category yangu na ninashukuru umeiongelea sukari kama kitu kilichopanda kwa direct consumers ambacho hata mimi nimeiweka...
Kingine kama nilivyosema, sikuwahi kuwa fan wa Magu lakini niliweka "positive side" Kuonesha kuwa hakuwa mbaya kwa kila kitu...
Hii mada imekukojoza kabisa hii 😂Uzi Makini sana
Huyu mama kaajili maelfu ya watoto wa masikini kitu kilicho mshinda magu, sasa kwa maelezo haya ni nani alikuwa anawapenda masikini kati ya huyu mama na Magu?
UnalombwaKatika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke
Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo
1. Aliharibu upande wa diplomasia
Magufuli ndo aliwaita wawekezaji mabeberu na kuwaona wabaya na kuwatangazia kila jina baya.
Alisema wazi kwamba yeye hataki Tanzania, hakuwahi kuhudhuria vikao vya kidplomasia popote
Alipika propaganda za uongo ati hakuna covid 19
Baada ya Rais Samia ndo alijitahidi kutembea na kuwaleta wawekezaji ambao Kwa Sasa angalau kidogo tunaona nuru
2. Kuharibu democrasia
Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ili asikike yeye tu ndo propaganda zake za kuita watu wanyonge
Vifo vya wapinzani wengi kama Azzory Gwanda, Ben Saanane n.k
Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu
Kusingizia kesi na kufunga watu waliompinga kama Yusuph Manji na Kabendera
3. kuuwa uchumi wa Taifa.
Magufuli ndo alinunua ndege 8 bila kushirikisha bunge na Kwa maamzi yake binafsi baadae ndege zote zikawa mbovu na kuishia karakana.
Alishindwa kutambua kuwa mahitaji ya wananchi sio ndege Bali ni miundo mbinu ya afya, barabara, madaraja n.k
Alimfukuza makampuni Shindani ya ATCL kama Fast jet
Shirika la ndege lilifirisika na Sasa mama Samia ndo analifufua taratibu
4. Kuzuia ajira Kwa vijana
Magufuli ndo alifungwa ajira za umma, hasa ualimu na afya
Na kusababisha vijana waliotoka kaya masikini kurundikana mtaani bila suluhu
Mamilion ya graduates wako mtaani sababu ya sera mbovu za Magufuli.
Pongezi Kwa Rais Samia anajaribu kupunguza japo mzigo ni mkubwa
5 Kodi Kandamizi
Magufuli aliwakandamiza wafanyabiashara na wananchi Kwa ujumla kulipa Kodi utitiri hapa wafanyabiashara wengi wakifunga biashara na wengine kumhamisha biashara zao kwenye mataifa mengine.
Magufuli alianzisha Kodi Kwa wafanyabiashara wadogo kama kitambulisho ambapo hata muuza mboga alilazimika kulipa Elfu 20 ili afanye biashara
6. Kilimo na uvuvi
Utawala wa Magufuli tulishuhudia kudorora la soko la mazao
Mfano kwetu Kagera tuliuza kahawa kg sh 900 ila kipindi cha Samia tumeuza sh 7000
Magufuli alikuwa sekta ya uvuvi akishirikiana na waziri wake Luhaga Mpina, fika Kanda ziwa, Zanzibar, Nyasa na Kigoma hawataki kusikia jina la Magufuli
7 Matumizi mabaya ya madaraka.
Sio tu Hayati Magufuli alitumia madaraka yake vibaya ila pia wateule wake mfano Sabaya
Sabaya alikata watu vipanja, alichoma watu moto, alinyanganya watu hela na alijisifu kuwa ni DC pekee angeweza kumpigia simu Magufuli usiku wa manane na akapokea
Wakuu wa wilaya walitumia mamlaka Yao vibaya na kuwaweka mahabusu wapinzani Kwa masaa 24 ilikuwa kama fashion kipindi cha Hayati Magufuli
Wala hakukemea
8 Kula hela maafa ya Bukoba
Kipindi cha utawala wake Bukoba walipata tetemeko na akaitisha michango Kwa ajili ya watu wahanga
Cha ajabu aliwakana na kusema serikali haikuleta tetemeko
9. Magufuli alihujumu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020
Mtu mwenye akili timamu anajua wazi kuwa CCM haiwezekani kushinda vitongoji, vijiji/ mitaa, kata na majimbo yote
Lakini Kwa Magufuli alifanya hivi kuiba na kudhulumu Imani ya Watanzania
10. Alianzisha miradi isiyoisha.
Mfano SGR Kwa miaka yote alokaa madarakani mbali na kujenga SGR kipande lakini hakununua hata kichwa kimoja cha train
JNHPP
Huu mradi licha ya kuimbwa na machawa wake, lakini hakuna ulipoufikisha, aliacha mifereji, vifusi na tractor zikiwa site miaka nenda Rudi.
Umeme unajumuisha uzalishaji, kuhifadhi, usafirishaji na usambazaji
Yeye hata hatua ya uzalishaji hakuifikia
Haya ni baadhi tu
Binafsi nasema Magufuli ndo Rais ambaye hakufanya vyema katika utawala wake
RIP Hayati Magufuli
Nanukuu👆Mazuri na mabaya ni sehemu ya kumbukizi kwa hayati, 17/03/2021-25
Kwa hiyo sasa hivyi masikini wakienda kwenye taasisi za uma hawa hudumiwi?
Kiongozi bora ni yule anaye weka mazingira rafiki kwa raia kujikwamua kwenye umasikini na sio yule anaye waheshimisha masikini ili waendelee kujivunia umasikini walio nao.
Magufuri aliwapendaje masikini hali yakuwa sera zake nyingi zilikuwa ni kuwadidimiza ili waendelee kuwa masikini zaidi.
Magufuri alikuja kuwatumbukiza zaidi watz wengi kwenye umasikini ulio kithiri kwa sera zake za kijima.
Huwezi kusema unawapenda masikini alafu wakati huo unaua sekta binafisi ambazo zinge waajiri, huwezi kusema unawapenda masikini wakati unakataa kuajili watoto wao alafu unaenda kutumia matrion kununua ndege ambazo sasa hivi zinashinda gereji,na kwenda kujenga ikulu za kifahari na kujenga kiwanja cha ndege kijiji kwako.
Huwezi kusema unawapenda masikini alafu wakati huo umeuwa soko la mazao ya kilimo ambayo ndo tegemeo lao kiuchumi na kukimu maisha yao.
Mm natokea mkoa wa kagera kipindi cha huyo magufuri alipiga marufuku vyama ushirika vya kibinafisi kununua kahawa badala yake akawa anawarazimisha wakulima wauze kahawa zao kwa sh 1000 kwa kilo tena kwa mkopo mpaka kuna wakulima pesa zao zimepotea mpaka sasa hawajawahi kuipata ,ame ingia huyu mama karuhusu soko hulia msimu jana tu hapa kilo ya kahawa ilikuwa inauzwa sh7000 bado sijawaongelea wakulima wa mbaazi, korosho, pamba.
Kipindi chake gunia la mahindi ilifikia hatua likawa linauza 20,000 ,gunia la mpunga sh 30 000na bado wanunuzi hawaonekani yanaozea mashambani,sasa hivi chini ya huyu mama mazao ya kilimo yana bei nzuri mpaka watu sasa hivi wameanza kuona kilimo ni dili.
Huyu mama kaajili maelfu ya watoto wa masikini kitu kilicho mshinda magu, sasa kwa maelezo haya ni nani alikuwa anawapenda masikini kati ya huyu mama na Magu?
Mkuu mm nilicho kupinga ni kusema eti aliwaheshimisha ,hakuwaheshimisha bali alikuwa anawafanyia ulaghai na kuwatumia kama mtaji wa kisiasa kwa sababu anajua kundi kubwa la watz uwezo wao wa kufikiri uko chini.Soma comments zangu vizuri
Nimejibu "specifically", wewe unanijibu " Generally"...
Ukijibu specifically pasipo kuongezea point ambazo mimi sikuziongelea nadhani kusingekuwa na mjadala.
Nimeongelea kuheshimisha.. Jibu lako lilitakiwa kunionesha kuwa ni sawa au si sawa lakini sio kunionesha kuwa hakuondoa umaskini au aliwadidimiza maskini. Hiyo sio Point yangu
Na sikupingi kuwa unayoyasema sio sahihi ndio maana sijakupinga ila yapo nje ya Point niliyoitoa.
Kwa sababu umaskini na vitu vingine ndani ya nchi yetu huwa havina muendelezo kwa sababu ya kukosa strong system kiasi kila anaeingia madarakani anafanya ya kwake. .
Nchi imejengwa kwa kuangalia nguvu ya vyama na individuals kama rais ila hatuna strong systems ambazo zinaweza kufanya kazi. Aidha muasisi wake awepo ama asipokuwepo
Kwa hiyo mengi unayoyaongelea ni impact ya nchi kukosa strong system