Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Si unaona nacho kwambia,kwenye screen unaona picha za mateke badala ya maandishi.Haya ndio mateke yenyewe!!
Tena 2015 Baada Ya Lowasa Kuingia Pale Wakasema Kwamba Watashinda Uchaguzi Sa4 Asubuhi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako unaonekana unatambua uwezo wa mzungu kuweka mtu wao kwenye uongozi wowote akiamua.Hata Kikwete mlisema hivyo hivyo,
huyo Tu ndu Lisu wenu ni naive
kama ninyi mnaomfuata na kumuamini na haelewi jinsi Dunia ilivyo, anaamini kabisa kwamba Muzungu ni mtu fair na atamtangaza Raisi wa JMTZ kama Guido, lkn msichokijua hakuna maslahi yoyote ya Muzungu yaliyohatarishwa hapa Bongo, kwanza hata Majeshi yetu yako Kongo sasa Muzungu atake kufanya ,,regime change” JMTZ kwa lipi?
Kwanza mngekuwa na akili hata mngeelewa jambo pekee lililomgusa Muzungu ni ushoga na Wanafunzi wa kike kufukuzwa Shuleni kwa kupata Mimba na hata interview yote ya hardtalk ilihusu hilo, Muzungu alitaka kujua msimamo wa Upinzani kuhusu Ushoga basi, hayo mengine yoote ujinga tu.
Hivyo Muzungu mnayekimbilia kwake hajali chochote kuhusu madai yenu mnayoshitaki.
Mlisema Mkapa,akaja kikwete sasaMagufuliKila chenye mwanzo kina mwisho.
Kwa sheria za uchaguzi za sasa ambapo matokeo ya urais hayapingwi kokote pale baada ya kutangazwa; kwa kuwa sasa hivi mwenyekiti wa CCM ndiye huteua majaji huko NEC na kwa kuwa mwenyekiti huyo ndiye anayeteua wanachama wa CCM kuwa maDED (ambao by default wanakuwa wawakilishi wa NEC huko majimboni), CCM haitoanguka kamwe. Huo ndio ukweliNimalizie kwa kuwaambia kuwa, Tundu Lissu is just a catalyst kwenye mchakato unaondelea wa anguko la CCM.
Kwani haki ya faragha ina maana gani ktk katibaCCM ilishachokwa lakini vyama vya upinzani haviwezi kuitoa ccm kwa sababu kwanza hakuna kitu wanachosimamia kikaeleweka kwa wananchi kwa mfano sasa tundu lissu anazunguka ulaya na marekani akionyesha wazi anataka wamusaidie ili waje wanufaike baadae, kuunga mkono mahusiano ya jinsia moja kitu ambacho ni tofauti na utamaduni wetu kwa hiyo msijidanganye mtaitoa ccm kwa propaganda za mitandaoni
Magufuli mgonjwa zaidi ana moyo wa plastic itakuwa miguu 2020 atapumzishwa idiwe tabu ccm bye byeEndelea kuota mchana! Endelea kujifariji sioni chama mbadala wa CCM. Labda kutawala mitandaoni ndiyo Chadema wanaweza na huyo mgonjwa labda atatawala huko ugaibuni kwenye media ya mabeberu