Magufuli ndio Rais wa mwisho kutawala kupitia CCM

raisi wa mwisho kutawala kwa ridhaa ya wananchi kupitia ccm alikuwa kikwete. Magufuli alipachikwa tu kwa nguvu ya policcm na tumeccm wakisimamiwa na team goli la mkono kupitia Nape na Makamba. ndio maana Magufuli hatawali bali ana paraganya, intimidating watu. bila vitisho sasa hivi ccm ingekuwa imebaki historia tu. na hata Magufuli wenyewe na serikali yake nzima wanajuwa kuwa karibu asilimia 80% ya watanzania hawataki hata kusikia ccm. ndio maana ikitokea uchaguzi maalumu wanatowa week mbili za kampeni. kabla hata wananchi hawajajuwa unasikia amepita bila kupingwa.

Kama hii ndiyo ' Brain ' iliyopo kwa Uwingi huko Upinzani Kwenu hasa CHADEMA basi CCM ina haki ya Kuongoza kama si Kuitawala Tanzania kwa miaka Milioni Mia Saba au hata mpaka pale Yesu Kristo wa Nazareth atakapokuja Kutuchukua na kutupeleka Mbinguni Sebuleni Kwake Mwenyezi Mungu.
 
inawe kwani uongo uko wapi
 
Attachments

  • VID-20191005-WA0001.mp4
    1.2 MB
Nasubiri hiyo siku itokee, haraka iwezekanavyo..
Kama ngekuwa na nia nzuri na Tz, angeweza mikakati endelevu hata kama yeye hayupo mazuri yake yanaendelea. Akianza na katiba mpya yenye maoni ya wananchi, akianzia hapo tutaanza kuongea lugha moja.
 
Bado hujakomaa Kisiasa hivyo rudi tena Shuleni / Chuoni ukajifunze ili usizidi Kutuonyesha ' Udhaifu ' wako ambao kila Siku zinavyoenda unazidi tu Kuongezeka. CCM haina ' Uhuni ' ambao upo na umeota ' Mizizi ' huko Kwenu Upinzani hasa CHADEMA wa Viongozi ' Kung'ang'ania ' Madarakani utadhani wengine mliobaki wote mna Akili za ' Kipa Katoka ' tupu. Kwa kukusaidia tu nikiwa kama Shabiki / Mdau Mkubwa wa CCM Mwenyekiti wetu Taifa na Rais Dkt. Magufuli wala hatoongeza muda wake Madarakani kama ambavyo ' Wapuuzi ' wengi mnavyomzushia ikiwa ni Agenda yenu Kisiasa hasa baada ya Kushindwa Kukiimarisha chenu ndani ya hii Miaka Mitano. Muda wake Kuongoza Tanzania ni Mihula Miwili tu huu wa Kwanza wa 2015 hadi 2020 na ule wa mwisho wa 2020 hadi 2025 na baada ya hapo CCM itawaletea Watanzania Rais mwingine mzuri tu ambaye ataendeleza pale ambapo Rais Magufuli atakuwa ameishia kama vile na Yeye alivyorithishwa na Rais Mstaafu Kikwete ambaye nae pia alirithishwa na Rais Mstaafu Mkapa ambaye nae pia alipokea Kijiti kizuri kutoka kwa Rais Mstaafu Mzee Mwinyi ambaye nae pia alipikwa vyema na Kuaminiwa na Hayati Baba wa Taifa ambaye ndiyo Muasisi Mwandamizi wa CCM yetu. Ninachojua na ambacho pia nina uhakika nacho ni kwamba CCM itaongoza Tanzania miaka Milioni Mia Saba ijayo au mpaka pale Yesu Kristo atakapokuja au dunia itakapopinduka na kuwa nyingine. Waambie Wapinzani Wenzako mtafute cha Kufanya ila kwa jinsi mlivyo ' Wadhaifu ' hata Muungane wote bado hamna Uwezo wa Kushindana na hata Kuiondoa CCM yangu / yetu Madarakani.
wakati utakapofika itafahimika
 
Well said Mkuu an eagle..!
 
Natunza comment yako mpaka 2025

Kikubwa uhai
 
chaguzi zote za kikwete na mkapa mlidai kura zimeibwa...

Leo mnaongea ujinga mpya mnasafisha ujinga wa zamani kwanza
raisi wa mwisho kutawala kwa ridhaa ya wananchi kupitia ccm alikuwa kikwete. Magufuli alipachikwa tu kwa nguvu ya policcm na tumeccm wakisimamiwa na team goli la mkono kupitia Nape na Makamba. ndio maana Magufuli hatawali bali ana paraganya, intimidating watu. bila vitisho sasa hivi ccm ingekuwa imebaki historia tu. na hata Magufuli wenyewe na serikali yake nzima wanajuwa kuwa karibu asilimia 80% ya watanzania hawataki hata kusikia ccm. ndio maana ikitokea uchaguzi maalumu wanatowa week mbili za kampeni. kabla hata wananchi hawajajuwa unasikia amepita bila kupingwa.
 
Bado hujakomaa Kisiasa hivyo rudi tena Shuleni / Chuoni ukajifunze ili usizidi Kutuonyesha ' Udhaifu ' wako ambao kila Siku zinavyoenda unazidi tu Kuongezeka. CCM haina ' Uhuni ' ambao upo na umeota ' Mizizi ' huko Kwenu Upinzani hasa CHADEMA wa Viongozi ' Kung'ang'ania ' Madarakani utadhani wengine mliobaki wote mna Akili za ' Kipa Katoka ' tupu. Kwa kukusaidia tu nikiwa kama Shabiki / Mdau Mkubwa wa CCM Mwenyekiti wetu Taifa na Rais Dkt. Magufuli wala hatoongeza muda wake Madarakani kama ambavyo ' Wapuuzi ' wengi mnavyomzushia ikiwa ni Agenda yenu Kisiasa hasa baada ya Kushindwa Kukiimarisha chenu ndani ya hii Miaka Mitano. Muda wake Kuongoza Tanzania ni Mihula Miwili tu huu wa Kwanza wa 2015 hadi 2020 na ule wa mwisho wa 2020 hadi 2025 na baada ya hapo CCM itawaletea Watanzania Rais mwingine mzuri tu ambaye ataendeleza pale ambapo Rais Magufuli atakuwa ameishia kama vile na Yeye alivyorithishwa na Rais Mstaafu Kikwete ambaye nae pia alirithishwa na Rais Mstaafu Mkapa ambaye nae pia alipokea Kijiti kizuri kutoka kwa Rais Mstaafu Mzee Mwinyi ambaye nae pia alipikwa vyema na Kuaminiwa na Hayati Baba wa Taifa ambaye ndiyo Muasisi Mwandamizi wa CCM yetu. Ninachojua na ambacho pia nina uhakika nacho ni kwamba CCM itaongoza Tanzania miaka Milioni Mia Saba ijayo au mpaka pale Yesu Kristo atakapokuja au dunia itakapopinduka na kuwa nyingine. Waambie Wapinzani Wenzako mtafute cha Kufanya ila kwa jinsi mlivyo ' Wadhaifu ' hata Muungane wote bado hamna Uwezo wa Kushindana na hata Kuiondoa CCM yangu / yetu Madarakani.
Nguvu yenu pekee mliyobaki nayo ni kwa kutumia mabunduki na magari ya washawasha, kinyume cha hapo hakuna CCM
 
Naomba mtunze hii hoja yangu kwenye ubongo wenu kuanzia sasa kwenda miaka isiyozidi 6 Magufuli atakuwa Rais wa mwisho kuitawala Tanzania kupitia CCM. Hana muda wa kubadilika muda aliopewa wa miaka 4 umetosha kutambua ilo.
Hana muda wa kuibuka tena hana ushawishi tena sio tu kwa wananchi bali ndani ya taasisi za kiserikali tumechoka kulala macho kwa sababu ya siasa za mtu mmoja mwenye kiburi asiyejua umuhimu wa usalama wa taifa.
Wekeni hii coment kwenye vichwa na bongo zenu.
 
Naomba mtunze hii hoja yangu kwenye ubongo wenu kuanzia sasa kwenda miaka isiyozidi 6 Magufuli atakuwa rais wa mwisho kuitawala Tanzania kupitia Ccm. Hana muda wa kubadilika muda aliopewa wa miaka 4 umetosha kuimaliza ccm, hana muda wa kuibuka tena hana ushawishi tena sio tu kwa wananchi bali ndani ya taasisi za kiserikali tumechoka kulala macho kwa sababu ya siasa za mtu mmoja mwenye kiburi asiyejua umuhimu wa usalama wa taifa.
Mshauri mkuu wa mtukufu ni Naibu Rais Daud Bashite ndiye kinara wa kumshauri mambo yote ya ajabu ajabu yanayoendelea sasa Nchini.
 
Naomba mtunze hii hoja yangu kwenye ubongo wenu kuanzia sasa kwenda miaka isiyozidi 6 Magufuli atakuwa Rais wa mwisho kuitawala Tanzania kupitia CCM. Hana muda wa kubadilika muda aliopewa wa miaka 4 umetosha kuimaliza ccm, hana muda wa kuibuka tena hana ushawishi tena sio tu kwa wananchi bali ndani ya taasisi za kiserikali tumechoka kulala macho kwa sababu ya siasa za mtu mmoja mwenye kiburi asiyejua umuhimu wa usalama wa taifa.
Kama ni maono umeoteshwa yangetimia hata Leo au kesho ingekuwa njema zaidi, ngoja tuone
 
Back
Top Bottom