Magufuli ndio Rais wa mwisho kutawala kupitia CCM


Kama hii ndiyo ' Brain ' iliyopo kwa Uwingi huko Upinzani Kwenu hasa CHADEMA basi CCM ina haki ya Kuongoza kama si Kuitawala Tanzania kwa miaka Milioni Mia Saba au hata mpaka pale Yesu Kristo wa Nazareth atakapokuja Kutuchukua na kutupeleka Mbinguni Sebuleni Kwake Mwenyezi Mungu.
 
inawe kwani uongo uko wapi
 

Attachments

  • VID-20191005-WA0001.mp4
    1.2 MB
Nasubiri hiyo siku itokee, haraka iwezekanavyo..
Kama ngekuwa na nia nzuri na Tz, angeweza mikakati endelevu hata kama yeye hayupo mazuri yake yanaendelea. Akianza na katiba mpya yenye maoni ya wananchi, akianzia hapo tutaanza kuongea lugha moja.
 
wakati utakapofika itafahimika
 

Well said Mkuu an eagle..!
 
Natunza comment yako mpaka 2025


Kikubwa uhai
 
chaguzi zote za kikwete na mkapa mlidai kura zimeibwa...

Leo mnaongea ujinga mpya mnasafisha ujinga wa zamani kwanza
 
Nguvu yenu pekee mliyobaki nayo ni kwa kutumia mabunduki na magari ya washawasha, kinyume cha hapo hakuna CCM
 
Naomba mtunze hii hoja yangu kwenye ubongo wenu kuanzia sasa kwenda miaka isiyozidi 6 Magufuli atakuwa Rais wa mwisho kuitawala Tanzania kupitia CCM. Hana muda wa kubadilika muda aliopewa wa miaka 4 umetosha kutambua ilo.
Hana muda wa kuibuka tena hana ushawishi tena sio tu kwa wananchi bali ndani ya taasisi za kiserikali tumechoka kulala macho kwa sababu ya siasa za mtu mmoja mwenye kiburi asiyejua umuhimu wa usalama wa taifa.
Wekeni hii coment kwenye vichwa na bongo zenu.
 
Mshauri mkuu wa mtukufu ni Naibu Rais Daud Bashite ndiye kinara wa kumshauri mambo yote ya ajabu ajabu yanayoendelea sasa Nchini.
 
Kama ni maono umeoteshwa yangetimia hata Leo au kesho ingekuwa njema zaidi, ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…