Naomba mtunze hii hoja yangu kwenye ubongo wenu kuanzia sasa kwenda miaka isiyozidi 6 Magufuli atakuwa Rais wa mwisho kuitawala Tanzania kupitia CCM. Hana muda wa kubadilika muda aliopewa wa miaka 4 umetosha kuimaliza ccm, hana muda wa kuibuka tena hana ushawishi tena sio tu kwa wananchi bali ndani ya taasisi za kiserikali tumechoka kulala macho kwa sababu ya siasa za mtu mmoja mwenye kiburi asiyejua umuhimu wa usalama wa taifa.
Nikumbushe wewe Ni nabii nani tena vile?Naomba mtunze hii hoja yangu kwenye ubongo wenu kuanzia sasa kwenda miaka isiyozidi 6 Magufuli atakuwa Rais wa mwisho kuitawala Tanzania kupitia CCM. Hana muda wa kubadilika muda aliopewa wa miaka 4 umetosha kuimaliza ccm, hana muda wa kuibuka tena hana ushawishi tena sio tu kwa wananchi bali ndani ya taasisi za kiserikali tumechoka kulala macho kwa sababu ya siasa za mtu mmoja mwenye kiburi asiyejua umuhimu wa usalama wa taifa.
Mtukufu anayo mazuri machache hasa kwenye kurejesha nidhamu ofisi za umma, lakini ukifanya mabaya mengi yale mazuri machache hufutika mara moja kwa kasi ya ajabu sana.Acha amalizie muda wake bado kuna mambo makubwa hajayamaliza. Pamoja na mabaya aungwe mkono kwa mazuri
Wrong!!! Our record shows Daudi Albert Bashite as the next Tanzania presidentNext Kassim Majaliwa mark my word
🤣🤣🤣🤣 WalaWrong!!! Our records shows Daudi Albert Bashite as the next Tanzania president
Naomba mtunze hii hoja yangu kwenye ubongo wenu kuanzia sasa kwenda miaka isiyozidi 6 Magufuli atakuwa Rais wa mwisho kuitawala Tanzania kupitia CCM. Hana muda wa kubadilika muda aliopewa wa miaka 4 umetosha kuimaliza ccm, hana muda wa kuibuka tena hana ushawishi tena sio tu kwa wananchi bali ndani ya taasisi za kiserikali tumechoka kulala macho kwa sababu ya siasa za mtu mmoja mwenye kiburi asiyejua umuhimu wa usalama wa taifa.
Haijui ccm weweNyakati za CCM kuendelea kutawala nchi hii zimefika mwisho na yote haya mnayoyashuhudia leo hii ni viashiria tu vya anguko la CCM katika siku zijazo.
Kelele za wana-CCM majukwaani, mitandaoni, Bungeni na kwingineko, ni sawa tu na mateke ya farasi anaekata roho hivyo hayaepukiki na watarusha sana mateke mpaka mtawahurumia.
Walizoea madaraka na zaidi wana hofu ya nini kitawapata baada ya wao kupoteza madaraka maana wengi wao ni watuhumiwa wa mambo mbalimbali walipokuwa wakishika madaraka katika ofisi za umma kwahiyo baadhi yao wana hofu ya kushughulikiwa.
Pia, kuna wanaotarajia kuteuliwa kushika madaraka siku zijazo na kuna wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali katika chaguzi zijazo, hivyo wote hawa pamoja na tegemezi wao ni lazima warushe mateke kama farasi anaekata roho maana wanakwenda kunyang"anywa tonge mdomoni jambo ambalo hawawezi kulikubali kirahisi.
Na lazima mjue hii ndio siri ya wao kushikamana hata katika kutetea mambo ambayo hata dini zetu zinayapinga kwani wanajua wasiposhikamana na kumtetea boss kwa nguvu zote ataanguka, na akianguka wanajua na wao ndio itakuwa mwisho wa matumaini yao.
Hata hivyo,CCM wajue tu it is already too late na Magufuli ndio anahitimisha utawala wa CCM katika nchi hii na atarithiwa na kiongozi kutoka moja ya vyama vya upinzani hapa nchini ingawa kutakuwa na magumu ya hili jambo kutimia zikiwemo gharaza za kulipa kwa baadhi ya watu maana kwa Afrika mambo haya hayaepuikiki but all in all CCM haina nafasi tena kwa sasa.
Ukweli ni kwamba CCM imeanza kuporomoka miaka mingi na ndio maana hata wagombea uraisi wa chama hicho kila chaguzi kura zao zinashuka na wa kujilaumu ni CCM wenyewe kwa matendo yao, matendo ambayo awamu hii sasa yamekihiri na hata dunia imeanza kuwanyooshea kidole huku awamu hii ikizidi kabisa kujiweka mbali na wananchi wa kawaida hivyo kuzidi kuchochea anguko lake.
Kwa maneno mengine, CCM hii ya Magufuli inayojali maendeleo ya vitu kuliko ustawi wa maisha ya watu, plus matendo ya watu wasiojulikana, na pressure ya mataifa kutoka nje kupinga haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, combination hii ya mambo ndio itakwenda kuhitimisha utawala wa CCM siku si nyingi.
Kumbukeni pia utafiti wa Twaweza ulioonyesha poromoko la Mkulu kwa kiwango cha SGR ndani ya muda mfupi tu.
Nina hakika hata baadhi ya wana-CCM wanajua ukweli huu akiwemo yule mwanasiasa alie-post picha ya saa mtandaoni ingawa hakufafanua anamanisha nini lakini kila mwenye akili alielewa ujumbe aliokusudia kuufikisha katika jamii.
Nimalizie kwa kuwaambia kuwa, Tundu Lissu is just a catalyst kwenye mchakato unaondelea wa anguko la CCM.
Mtarusha sana mateke lakini haitasaidia.
Kila chenye mwanzo kina mwisho.
Time will tell.
Kweli kabisa! Kama huyu hapaMtukufu anayo mazuri machache hasa kwenye kurejesha nidhamu ofisi za umma, lakini ukifanya mabaya mengi yale mazuri machache hufutika mara moja kwa kasi ya ajabu sana.
Kwani ccm ipo basi? Ccm is long dead. Tunachoona ni vyombo kandamizi vya dola tu. Hakuna chama kinachitwa ccm kilikufa kitambo.Endelea kuota mchana! Endelea kujifariji sioni chama mbadala wa CCM. Labda kutawala mitandaoni ndiyo Chadema wanaweza na huyo mgonjwa labda atatawala huko ugaibuni kwenye media ya mabeberu
Kwani kuna mwaka ambao nchi inakuwa haina kizazi kipya!!!Mwaka 2015 chadema kura million 6...ccm million 8...kwa kusaidiwa na kuiba.akiamungu kwa hasira za kizazi kipya 2020 sizani kama wataweza kuiba.watu wanahasira kuanzia huko huko ccm kwenyewe it is just a matter of time.
Alijenga pia majengo mazuri makubwa kwenye balozi za Uganda Kama uk, German, France, Italy America Australia na RussianKweli kabisa! Kama huyu hapaView attachment 1260722