Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,433
Reaction score
2,791
Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO.

Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote, chuma kikaamua na leo imetimia rasmi,
Jiwe la msingi la UJENZI ameweka Magufuli, kwanini asitajwe?

Shauri yenu atawatokea humo na mtakimbia. Hata msipomtaja tutamtaja kwenye platform zingine. Aibu yenu wote mnaofanya uhujumu huu.😭 Hivi mama Janeth wamekualika kweli?
 
Sukuma Gang wacheni kubweka bweka kama mbwakoko,Ikulu imejengwa kwa kodi zetu.
 
Magufuli ni kama maji hata wasipomsema watamsikia Tu kama hapa.
 
Kwani nyie Sukuma Gang mshachoka kumtajataja mpk mtulazimishe na sie?
Mtajeni sana tu mpendavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…