Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

Sometimes hiz harakat hazina maana.. JPM ni mwanaccm tangu enzi, kawa rais toka CCM kaongoza serikali ya CCM, je tuilaum CCM kwa kutuletea JPM au tuishikuru? NB; kila Rais huitumia pesa ya walipa kodi kwa vipaumbele vyake!! Naamin kila Rais ana mazuri kafanya kwaajil ya Taifa.
 
Wanajaribu kujifariji ila ukweli ni kwamba ikulu ya Dodoma ilijengwa na chuma JPM.
 
Watu wamejenga madaraja huko rufiji, malagalasi na barabara kedekede lakini hawapigi kelele ulikuwa ni wajibu wao hembu ondoeni ushamba wenu hapa
Tarimba Abbas kajenga ghorofa jirani na Makao makuu ya Chadema

cc: mrangi ova
 
Aibu sana kwa Taifa. Bila hata hofu wanajitapa
 
watu mnataja watu kama vile walitoa pesa zoa mfukoni, hakika tumekuwa brainwashed sana pale serikali inafonya jambo,hatusemi serikali ,tunasema mtu fulani. hv aliyeleta huu utamaduni ni nani?
unatakiwa kusema serikali ndio imejenga ikulu mpya .
 
Ikulu imejengwa na watanzania sio Magufuli. Ikulu ya Chamwino imejengwa na Magufuli sio Samia!
 
Serikali ndio ilijenga kwa pesa za serikali chini ya usimamizi wa Rais
 
Watu wamejenga madaraja huko rufiji, malagalasi na barabara kedekede lakini hawapigi kelele ulikuwa ni wajibu wao hembu ondoeni ushamba wenu hapa
Huwezi kulinganisha mtu aliejenga daraja Moja miaka kumi na aliejenga miundombinu ya kimkakati nchi nzima kwa miaka minne.

Jisikie aibu kidogo mkuu.
 
Kwani wakati wa Marais wengine Kodi zenu hazikuwepo?unajionesha kuwa wewe ni takataka

Pole sana mkuu
 
Huwezi kulinganisha mtu aliejenga daraja Moja miaka kumi na aliejenga miundombinu ya kimkakati nchi nzima kwa miaka minne.

Jisikie aibu kidogo mkuu.
Huyo aliyejenga daraja moja miaka 10 ninani? Ivi hii nchi mlianza kuijua lini haswa? Mwinyi alipoingia marakani hali za watz zilikuwaje kimaisha na hiyo miundo mbinu ilikuaje? BM kikwete nk muwe mnasoma basi hata historia!
 
Kwaiyo sisi unatwambia tufanyeje? Si uende hapo chamwino mpk muda huu wapo nenda upaze sauti watakuskiliza tu humu unapoteza muda maana wengi tulioko humu tunaamini magufuri alikuwa ni shetan mdogo, katili, muongo, mnafiki, asiyependa kukosolewa, laghai, muuwaji, mwizi, mkabila, mpenda sifa nk.
 
Kutambulika ni jambo jema sana ila usilazimishe sana kutambulika/ thamani yako kuonekana kwenye jambo fulani

Hii haina tofauti sana na wale walikuwa wanalaani hakuna barabara inaitwa kwa majina yao
 
Kwani ukimtaja wewe si inatosha jamani sukuma gang mbona mna gubu la mke wa pili.
Bwana yule hatajwi kwa sababu mkimtaja unatonesha vidonda vya utekaji, mauwaji ya wasio hatia,utesaji uporaji mali za watu na mambo mengine mengi ya kiibilisi aliyo yatenda kwa niaba ya shetani.
Maendeleo hayana vyamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…