Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

Kuwa uone; Leo nimeshangaa sana how can people lie publicly bila aibu...Ila niwashukuru officials wameiweka hitoria vizuri sana with dates, hongereni sana executives wa Tanzania!
 
Nadhani hizo zingine ni siasa, official statements zipo clear and to the points...It was sealed 2020...Mwenye kuelewa ataelewa!

Kiongozi wetu mkuu ameonyesha uanadiplomasia wa hali ya juu na in between lines utasikia sauti yake iki insist, nani aliamua utekelezaji uanze, mama you are super intelligent...Be blessed!
 
Unajua nini wameona kila akitajwa shangwe lake ni kubwa kwa hyo bora kukaa kimya maana ni kama wao hawaonekani
 
Wanaogopa wananchi kushangilia kwa shangwe na nderemo kila wakilisikia jina la Magufuli kama ilivyotokea kule Rufiji wakati wa uzinduzi wa Bwawa la kuzalisha umeme.
 
unawashwa nini, ikulu imejengwa kwa pesa za watanzania, huyo marehemu wako hakutoa mshahara wala posho yake sana sana alituibia pesa nyingi sana.
 
Hilo lipo wazi mkuu.

Mafisadi ya msoga Yana wivu na marehemu.
 
Magufuli kajenga au serikali imejenga?
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…