Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

Acha story za vijiweni hizo wewe?
Ina maana haujasikiliza taarifa kuhusu ujenzi wa Ikulu?
 
Kwa hiyo Kama alijenga tufanyeje na yeye alikuta walivyojenga wenzie
 
Magufuli hakujenga Ikulu ya Chamwino - Dodoma.

Ikulu ya Chamwino - Dodoma imejengwa na JKT kwa kutumia fedha za walipa kodi watanzania!
 

Siyo ya Chamwino tu hata ya MAGOGONI alijenga yeye.
 
Huwezi kulinganisha mtu aliejenga daraja Moja miaka kumi na aliejenga miundombinu ya kimkakati nchi nzima kwa miaka minne.

Jisikie aibu kidogo mkuu.
Miundombinu ipi ya kimkakati iliyojengwa kwa miaka minne? Itaje
 
Kama hajatajwa mtaje wewe
 


Hahahaaa

Rest well mwamba John Pombe Magufuli. Ulifanya kazi papa, tusiposema wanyama watongea

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…