Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Cha ajabu Yesu Mnazarethi ya Galilaya ya Mfalme Herode, alikataa ku submit kwa Mfalme huyo mwovu alipopata habari kuwa anataka kumuua, akisema: "Nendeni mwambie yule mbweha..."
Tuwekee kifungu kabisa tukajiridhishe.
 
Acheni kumlisha maneno alisema kabla ya kuupata ndio alikutana na dhahma hiyo kaamua kusamehe fimbo watachapwa na Mungu
Kosa la jinai halina mwisho , hakuna limit ya kusema baada ya muda flani kosa linakufa. Halafu yeye kisheria hana mamlaka na hakua na mamlaka ya kusamehe na kuzuia jamhuri kushtaki hao watuhumiwa.
Kama ni kweli ilifanyika hivyo na hao watu wanajulikana ni vyema wakashtakiwa
 
On the speech to inagurate the book of The Once Tanzania President Benjamini willium Mkapa the incumbent president of United Republic of Tanzania revealed a rare fact that there was an attempt to end his life through poisoning at DODOMA.

President Magufuli explained in a polite tone that his life was threatened to such an extent that he had to request a resignation from the cabinet but Mr Mkapa denied and improved the security details of his So called number one parachuteer arm officer.

His speech today has touched so many Tanzanians as he is trying to improve the lives of of poor post colonial Tanzanians.

Let us pray for rhe President Magufuli!
 
Kumwelekeza mtu mwenye akili ndogo km wewe ni kupoteza muda wangu tu

Kujiunga jf inahusiana nini na habari za kuugua Magufuli,

We umeleta link ya Magufuli kuugua wakati wa utawala wa mzee kikwete

Magufuli ameZungumizia kulishwa sumu wakati wa utawala wa mzee Mkapa

Usichoelewa ni nini we kiazi?

Usnijibu km hujaelewa baki na ujinga wako
 
We thanks God for keeping our Lovely Presdent alive

God bless our Presdent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…