Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Tuwekee kifungu kabisa tukajiridhishe.Cha ajabu Yesu Mnazarethi ya Galilaya ya Mfalme Herode, alikataa ku submit kwa Mfalme huyo mwovu alipopata habari kuwa anataka kumuua, akisema: "Nendeni mwambie yule mbweha..."