DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Maccm kwa maccm yanawekeana sumu ila waki deal na wapinzani wanatumia mtutu wa bunduki au mapanga shaaaa. Maccm ni mashetaniHivi CCM kuna nini kila mtu sumu lakini sisi wengine risasi CCM ni janga la taifa
Tabia zake zipoje mkuu ?Wewe unaamini kuwa muuwaji aliyedhamiria kabisa atachagua sumu itakayomnusuru? Ila sio ajabu mie huyu jamaa nimeishi nae karibu sana huko zamani siwezi kupinga kuwa watu walijaribu kumnaniliu maana tabia zake zilivyo ni ngumu sana kuishi nae karibu hasa kwa sisi Watanzania.
Kweli kama "alivyomsamehe" Tundu LissuMagufuli ni mtu wa kusamehe, hana kinyongo
Kweli kabisa kama alivyomlinda mja wake TUNDU LISU. Mungu ni mkubwaYe,Mungu alimlinda mja wake,Kwasababu alikuwa na maono juu yake
Kweli kama "alivyomsamehe"
Ukiwa unatekeleza ilani ya chama kwa ufanisi, hustahili kuishi, mpaka bwana mkubwa anaogopa kuwasifia viranja wake akihofia yatawakuta yaliyomkuta yeye[emoji26][emoji26][emoji26], hiki chama hakitufai kabisa Watanzania, nadhani waimba mapambio mnalo la kujifunza kupitia hotuba ya mkuu
Ukiwa unatekeleza ilani ya chama kwa ufanisi, hustahili kuishi, mpaka bwana mkubwa anaogopa kuwasifia viranja wake akihofia yatawakuta yaliyomkuta yeye[emoji26][emoji26][emoji26], hiki chama hakitufai kabisa Watanzania, nadhani waimba mapambio mnalo la kujifunza kupitia hotuba ya mkuu
Kuna mheshimiwa aliwahi kusema walikuwa hawaachiani glasi ya maji mezani, unabeba glasi yako unaingia msalani, dah! haya maisha ni shida ni mwendo wa kuviziana tu..
ccm ni genge la MASHETANI, menyewe kwa menyewe hayapendani yatakuwaje na upendo na huruma kwa watanzania ?
Alilishwa sumu ya aina gani...aseme kama ni Cyanide au ni nini? Hayo mambo ya kusema " Nililishwa sumu" au "nililogwa " au nini sijui halafu unashindwa kutoa details huo ni uongo mtupu, Alikuwa na ugonjwa wake ambao hataki kuusema aache uongo au kusingizia. Hatua gani ilichukuliwa baada ya yeye kulishwa sumu??? Au ndiyo anawalipizia akina Lissu, Ben Saanane, Azzory na wengine anaoendelea kuwapoteza. HAYO NI MANENO YA MKOSAJI....Magonjwa yako yanafahamika tangu ulivyokuwa unaenda kwa babu wa Loliondo
Duu! basi poa mkuu, ka ni ishu sensitive.Mkuu, kuna baadhi ya mambo huwa yanatendeka kwa siri sana na hata yanapo kuja kubainika mengi yanafunikwa ili kutokuitia nchi matatani kwasababu unaweza kuta walio husika ni untouchable hata kama wanajulikana.
Kwa leo naomba niishie hapa kuhusu hili sakata