Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Hivi CCM kuna nini kila mtu sumu lakini sisi wengine risasi CCM ni janga la taifa
Maccm kwa maccm yanawekeana sumu ila waki deal na wapinzani wanatumia mtutu wa bunduki au mapanga shaaaa. Maccm ni mashetani
 
Wewe unaamini kuwa muuwaji aliyedhamiria kabisa atachagua sumu itakayomnusuru? Ila sio ajabu mie huyu jamaa nimeishi nae karibu sana huko zamani siwezi kupinga kuwa watu walijaribu kumnaniliu maana tabia zake zilivyo ni ngumu sana kuishi nae karibu hasa kwa sisi Watanzania.
Tabia zake zipoje mkuu ?
 
Ukiwa unatekeleza ilani ya chama kwa ufanisi, hustahili kuishi, mpaka bwana mkubwa anaogopa kuwasifia viranja wake akihofia yatawakuta yaliyomkuta yeye[emoji26][emoji26][emoji26], hiki chama hakitufai kabisa Watanzania, nadhani waimba mapambio mnalo la kujifunza kupitia hotuba ya mkuu
 
Kuna revelations hutolewa bila wahusika kujitambua
Ukiwa unatekeleza ilani ya chama kwa ufanisi, hustahili kuishi, mpaka bwana mkubwa anaogopa kuwasifia viranja wake akihofia yatawakuta yaliyomkuta yeye[emoji26][emoji26][emoji26], hiki chama hakitufai kabisa Watanzania, nadhani waimba mapambio mnalo la kujifunza kupitia hotuba ya mkuu
 
Nini kilimtokea Horace Kolimba? Je ilikuwa mtandao huohuo? Kama ndani ya CCM vitu kama hivi viliweza kufanyika na pengine wao kwa wao wanajuana nani ni muhusika mkuu, je swala la TAL yawezekana lilianzai hukohuko?
Je kama pia lilotokea katika kipindi hicho kwa JPM, kwa sasa uchunguzi hauwezekani kufanyika na wahusika kukamatwa ama ni haohao sasa wanatumika kwa maslai ya chama kuangamiza upinzani?
 
Watu wanapigana mezani wakati wa kula sasa vipi sisi ambao hatujala toka 2015 ?
 
bora hao wanalishana sumu wanaweza kupewa maziwa wakapona kuliko sisi tunaopigana nyundo
 
ccm ni genge la MASHETANI, menyewe kwa menyewe hayapendani yatakuwaje na upendo na huruma kwa watanzania ?
Ukiwa unatekeleza ilani ya chama kwa ufanisi, hustahili kuishi, mpaka bwana mkubwa anaogopa kuwasifia viranja wake akihofia yatawakuta yaliyomkuta yeye[emoji26][emoji26][emoji26], hiki chama hakitufai kabisa Watanzania, nadhani waimba mapambio mnalo la kujifunza kupitia hotuba ya mkuu
 
MaCCM wote wamelaaniwa mpaka na vizazi vyao.
Kuua kwao ni kitu cha kawaida sana. M/Mungu tuondolee hawa Ibisi katika nchi yetu.
 
Natamani wauane waishe!kije kizaz kipya..aalfu hizo sumu zao naona zimeisha makali..mbona hawafi sasa
 
Ukiunganisha dots unagundua ni kwa nini hii nchi haijapata maendeleo ya maana japo tuna rasilimali zote ikiwepo na amani. Lakini kikubwa unagundua hiki sio tena chama cha siasa bali wana agenda nyingine tofauti. Huu wote ni ushahidi kuwa CCM haina tena credibility ya kutawala na kwa kuwaonea huruma walau wangepewa nafasi ya kujirekebisha kwa kuwekwa benchi walau miaka 10 kwanza.

Sasa kama wenyewe kwa wenyewe wanapeana sumu kwa 'wasio wenzao' kama sio kuwageuza chakula cha chatu!?
Tusichoelewa hadi sasa ni kwamba mtu anayemuua mwenzake kwa kutofautiana (katika kuiba) anaweza kushindwa kwenye box la kura na kukabidhi madaraka kwa aliyemshinda!? Hii ndio task iliyopo mbele yetu kama nchi!

Kuna mheshimiwa aliwahi kusema walikuwa hawaachiani glasi ya maji mezani, unabeba glasi yako unaingia msalani, dah! haya maisha ni shida ni mwendo wa kuviziana tu..
ccm ni genge la MASHETANI, menyewe kwa menyewe hayapendani yatakuwaje na upendo na huruma kwa watanzania ?
 
Alilishwa sumu ya aina gani...aseme kama ni Cyanide au ni nini? Hayo mambo ya kusema " Nililishwa sumu" au "nililogwa " au nini sijui halafu unashindwa kutoa details huo ni uongo mtupu, Alikuwa na ugonjwa wake ambao hataki kuusema aache uongo au kusingizia. Hatua gani ilichukuliwa baada ya yeye kulishwa sumu??? Au ndiyo anawalipizia akina Lissu, Ben Saanane, Azzory na wengine anaoendelea kuwapoteza. HAYO NI MANENO YA MKOSAJI....Magonjwa yako yanafahamika tangu ulivyokuwa unaenda kwa babu wa Loliondo

Kwa tunaojua na kufatilia mambo ya siasa ni kweli huyu Mhe. Wakati ule alilishwa sumu. Na alipelekwa kutibiwa Ujerumani. Baada ya kurudi alipewa ulinzi wa uhakika. Na ikawa ngumu tena kumuona Magufuli akijichanganya kama zamani. Swala hili kwa wakati huo alikuenea sana kwani hakukuwa na vyombo vingi vya habari kama sasa. Ila kwa wale tuliokuwa tukifuatilia siasa za wakati huo kwa karibu tulizipata hizo nyepesi nyepesi.
 
Mkuu, kuna baadhi ya mambo huwa yanatendeka kwa siri sana na hata yanapo kuja kubainika mengi yanafunikwa ili kutokuitia nchi matatani kwasababu unaweza kuta walio husika ni untouchable hata kama wanajulikana.

Kwa leo naomba niishie hapa kuhusu hili sakata
 
Duu! basi poa mkuu, ka ni ishu sensitive.
 
Lakini kama na JK aliongea waziwazi kuwa wanaogopa kuachiana hata glasi za maji basi huenda ni mambo yao ya kawaida na hayana haja ya kuundiana tume. Kwa sababu na mwingine ambaye sasa ni waziri alivyrudi kutoka kwenye matibabu nje ya nchi alisema hadharani kuwa mahasimu wake kisiasa walimpa sumu japokuwa inaonekana wote ni wa chama moja!
 
.
IMG-20191112-WA0151.jpeg
 
Back
Top Bottom