Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Tuanzie hapa: baada ya Kikwete kuwa rais alimuondolea ulinzi Magufuli ( baada ya kutaka kuuliwa Mkapa alikuwa amempa walinzi)Hao mawaziri waandamizi waliomchukia ni kina nani?
Na kwenye "ma barabara" akatolewa! Alirudushwa baada ya aliyewekwa kupwaya!