johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
RIP baba askofu Prof Mwenesongole!
Sikuwahi kukushuhudia ukichanganya dini na siasa.
Sikuwahi kukushuhudia ukichanganya dini na siasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo cha Magufuli kichunguzwe... mtenda akitendewa? Sababu za kifo chake ziko bayana; Tanzania inajua na dunia inajua. Hakuna sababu ya kupoteza muda na rasilimali za taifa kwa mambo yaliyo wazi.
... Amiri Jeshi Mkuu SSH alishaijulisha dunia sababu za kifo kile; unataka uchunguzi wa nini tena?Kifo cha Magufuli kichunguzwe
... mbona umekomaa sana kumpa uprofesa Askofu Mwenesongole bwashee? Alikuwa profesa wa nini?RIP baba askofu Prof Mwenesongole!
Sikuwahi kukushuhudia ukichanganya dini na siasa.
Kwa kauli yake Magufuli ya kutishwa!... Amiri Jeshi Mkuu SSH alishaijulisha dunia sababu za kifo kile; unataka uchunguzi wa nini tena?
... amiri jeshi mkuu analalamika? Inaingia akilini?Kwa kauli yake Magufuli ya kutishwa!
Kwani watu hawaoni tupo wimbi la nne kuelekea la 🖐️.... mtenda akitendewa? Sababu za kifo chake ziko bayana; Tanzania inajua na dunia inajua. Hakuna sababu ya kupoteza muda na rasilimali za taifa kwa mambo yaliyo wazi.
Teolojia bwashee!... mbona umekomaa sana kumpa uprofesa Askofu Mwenesongole bwashee? Alikuwa profesa wa nini?
Kifo cha kawaida kikoje bwashee?Magufuli hakufa kifo cha kawaida...
Kikishachunguzwa , ikionekana alifanyiwa hujuma, utamfufua ?View attachment 2058384
Serikali ya Tanzania inao wajibu wa kuchunguza na kuweka bayana kifo cha Magufuli na si vinginevyo.
Utetezi na kupuuzwa kwa namna yeyote uchunguzi wa kifo cha Magufuli ipo siku huko mbeleni jambo hilo litaleta matatizo makubwa!
Magufuli maisha ya uongozi wake yalijawa kutishwa kuuawa na hilo aliliweka bayana yeye mwenyewe tena mbele ya Viongozi wakuu wastaafu na hakumng'unya kutamka.
Kifo cha Magufuli kichunguzwe kwa sababu kilijawa na sintofahamu kubwa!
Alichanganya kupitia mwanaye GeorgeRIP baba askofu Prof Mwenesongole!
Sikuwahi kukushuhudia ukichanganya dini na siasa.
Kwani wasukuma si tunakubaliana kwamba jiwe hajafariki? Yupo Ulaya tu kujipanga atarudi...View attachment 2058384