Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

... mtenda akitendewa? Sababu za kifo chake ziko bayana; Tanzania inajua na dunia inajua. Hakuna sababu ya kupoteza muda na rasilimali za taifa kwa mambo yaliyo wazi.
Kifo cha Magufuli kichunguzwe
 
Kwani yy alikua hatakiwi kufa? Tufe sisi tu. Na bora kaniwai kufa. Cku nikifa nitakua na amani mm na taifa langu kua liko mikono salama kabisa
 
View attachment 2058384

Serikali ya Tanzania inao wajibu wa kuchunguza na kuweka bayana kifo cha Magufuli na si vinginevyo.

Utetezi na kupuuzwa kwa namna yeyote uchunguzi wa kifo cha Magufuli ipo siku huko mbeleni jambo hilo litaleta matatizo makubwa!

Magufuli maisha ya uongozi wake yalijawa kutishwa kuuawa na hilo aliliweka bayana yeye mwenyewe tena mbele ya Viongozi wakuu wastaafu na hakumng'unya kutamka.

Kifo cha Magufuli kichunguzwe kwa sababu kilijawa na sintofahamu kubwa!
Kikishachunguzwa , ikionekana alifanyiwa hujuma, utamfufua ?
 
View attachment 2058384

Serikali ya Tanzania inao wajibu wa kuchunguza na kuweka bayana kifo cha Magufuli na si vinginevyo.

Utetezi na kupuuzwa kwa namna yeyote uchunguzi wa kifo cha Magufuli ipo siku huko mbeleni jambo hilo litaleta matatizo makubwa!

Magufuli maisha ya uongozi wake yalijawa kutishwa kuuawa na hilo aliliweka bayana yeye mwenyewe tena mbele ya Viongozi wakuu wastaafu na hakumng'unya kutamka.

Kifo cha Magufuli kichunguzwe kwa sababu kilijawa na sintofahamu kubwa!
Kwani wasukuma si tunakubaliana kwamba jiwe hajafariki? Yupo Ulaya tu kujipanga atarudi...
 
Back
Top Bottom