Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
πππIli kundi lililowapa sumu JPM (rip), Mwakyembe, Mangula, nk halikuishia hapo nawaza hata vifo vya "corona" vya viongozi wetu kuanzia Mkapa, Mfugale, ni kundi hilo. Kutoka moyoni mwangu naamini kundi hilo watafikia wakati wataanza kupeana sumu wao kwa wao na hapo ndipo kuna mtu miongoni mwao ataasi na kumwaga Siri zote. Jiulize kundi la kulisha sumu wakikosea wakamtumia Zitto (siasa duodenum) unadhani atakaa na hiyo Siri njaa ikiuma?
Aliwachonganishaje ?Salaam Wakuu,
Nilikuwa nasikiliza Hotuba ya Hayati Magufuli, alipokuwa anadai eti alikuwa anafanya kazi vizuri kipindi cha Urais wa Benjamin Mkapa Hadi Mawaziri wenzake wakaanza kumchukia akapewa Sumu dodoma ambapo anadai alikiepuka kifo(Kifo hakiepukiki).
"Nilianza kuona dalili za baadhi ya Mawaziri tena wengine wa ngazi za juu kabisa kuanza kunichukia na muda si mrefu baada ya hapo nikanyweshwa sumu Dodoma". Alisema hayati Magufuli
Mawaziri ngazi za juu kabisa kipindi cha Urais wa Benjamin Mkapa walikuwa ni Cleopa Msuya na Frederick Sumaye ambao ndo walikuwa Mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti.
Je, ndo aliowamanisha au kuna wengine?
Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anachukiwa? Na kwanini alikuwa anawachonganisha Mawaziri wenzake na Rais?
View attachment 2382271
Kwani alichokisema kilikuwa uongo ?....au alikosea kutamka hadharani ?....πππ... halafu mnasema alikuwa sawa? Dish halikuwa sawa!
Baba wa uchumi wa katiπHuwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
β’ Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
β’ Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
Magufuli kwa lipi?Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
β’ Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
β’ Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
,,Ili kundi lililowapa sumu JPM (rip), Mwakyembe, Mangula, nk halikuishia hapo nawaza hata vifo vya "corona" vya viongozi wetu kuanzia Mkapa, Mfugale, ni kundi hilo. Kutoka moyoni mwangu naamini kundi hilo watafikia wakati wataanza kupeana sumu wao kwa wao na hapo ndipo kuna mtu miongoni mwao ataasi na kumwaga Siri zote. Jiulize kundi la kulisha sumu wakikosea wakamtumia Zitto (siasa duodenum) unadhani atakaa na hiyo Siri njaa ikiuma?