Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mnataka ajiuzulu mrudie kwenye biashara ya madawa ya kulevya au mrudie kuitafuna Nchi kwa ufisadi wenu
Na ww andika vizuri..kujiuzulu ndo nini??ni kujiuzuru!shenji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka ajiuzulu mrudie kwenye biashara ya madawa ya kulevya au mrudie kuitafuna Nchi kwa ufisadi wenu
Kwani nani alikukatazanaweza kuitumia
Ndio mchezo wao. Si na yule mwingine alivuta kwenye mic mpaka aorta ilipasuka!Alipewa sumu waziri mmoja na wote tulishuhudia mpaka nywele ziligoma kuota tena
Sawa na wale waliompiga risasi LissuMwanasiasa kijana aliyefikia hatua ya kufurahia kuugua kwa rais hana tofauti na huyo aliyetumwa kuweka sumu, wote wawili wana roho za kichawi.
Jonh usijali,we are with you and praying for you real hard,The God of Jacob and Isack never fails.Rais Magufuli akiwa kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mzee Benjamin Mkapa amefunguka mambo makubwa mno hajawahi kuyasema popote, mambo aliyoyasema ni pamoja na utendaji kazi wake uliomkosha Mzee Mkapa, Kuchukiwa na mawaziri na viongozi wengine wakubwa mpaka kunyweshwa sumu nk
Magufuli amepita majaribu Mengi hadi kufikia kuwa Kiongozi wa Nchi
Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu Mzee.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA UFUPI
Nampongeza Mzee Mkapa kwa kutimiza miaka 81, Mzee Mkapa ni shujaa wangu naomba nitayozungumza leo yasitafsiriwe vibaya na kupotoshwa.
Baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge, mzee Mkapa aliniteua kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi chini ya Mama Anna Abdallah, hata sikujua kwanini aliniteua, lakini nazidi kukushukuru mzee Mkapa
Moja ya mambo akifurahia jambo hafichi furaha yake na akichukia hafichi chuki yake, nakumbuka Mzee Mkapa pale tulipofanya kazi vizuri alipata furaha sana kwenye kazi za barabara mpaka akatamka kuwa mimi ni Askari wake namba moja.
Nilichojifunza kwa Mzee Mkapa ukimshauri kitu na kikitekelezwa hata yakitokea makosa hatakuacha peke yako atasimama na wewe
Wakati nikiwa Naibu Waziri wa Ujenzi na nitoe siri leo, makatibu wakuu wengi hawawaheshimu manaibu waziri, lakini nilipokuwa natoa maagizo yalipokuwa hayatekelezeki, mzee Mkapa alikuwa anatoa maagizo yeye na maagizo hayo yanatekelezeka
Nilipofanya kazi vizuri Mzee Mkapa hakusita kunisifia na sitosahau siku aliyotangaza kuwa, Mimi (Magufuli) ni askari wake wa mwamvuli, baada ya kutangazwa hivyo nilichukiwa na Viongozi wengi akiwemo wa ngazi za juu hadi kufikia hatua ya kunyweshwa sumu Dodoma
Nashukuru Mungu baada ya kunyweshwa sumu na kupona, nilienda kwa Mzee Mkapa na kumueleza azma yangu ya kujiuzulu, nakumbuka aliniangalia kwa jicho la mama na mwana na kuniambia usijiuzulu akanipa ulinzi na kuendelea kuchapa kazi
Nilichojifunza kwake Mzee Mkapa ni mtulivu, Mcha Mungu, mwanadiplomasia, mwanafunzi wa Sera na falsafa za Mwl. Nyeyere, asiye mnafiki na msema kweli
Niwahimize viongozi wastafau kuandika vitabu, nafurahi kusikia vitabu vya Mzee Kikwete na Mzee Mwinyi vipo katika hatua za mwisho kukamilia, hili lisiishie kwa Marais wastaafu, ningefurahi kusikia Maalim Seif akaiandika kitabu, Mzee Warioba na wengine wakiandika.
Mimi nimepanga December nikisome
Hahahaahhaaha hivi mnawazaga niniMe mwenyewe ninayetamani kuingia siasani mda wowote nimepata kitu
Duu kwahiyo wanaokunywa sumu wote wanakufa?Kama ingekuwa sumu kweli asingepona!!! Upewe POLONIUM alafu upone?
Use your, don't include meYou could face mortality first before our Lovely Presdent
Si mchezo watu sijui wapoje, walitaka Magufuli asiwe president