MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kitu moja nimenotice wakenya Wengi wanaosapoti Jubilee ndio wanakomalia utadhani wao ndio wamepewa Mimba.
Hii kitu ni ya kimaadili zaidi,.Nimewahi kuwa Mwalimu, Najua vizuri Hulka za hawa Wanafunzi.
Magufuli is Absolutely right. Mtoto achague free education with Right Morals or Kushika Mimba and pay for expensive one.
Kile nimenotice makada wengi wa CCM huwa mnashadadia kila anachosema Magu bila hata kutumia akili, halafu kesho akibadilisha kauli, nyote mnabadilika kama upepo.
Ikuingie kwamba Uhuru akiibuka na utumbo kama huu atapingwa mpaka ashangae, hamna cha Jubilee wala nini, hili linahusu malezi, na kwa sisi ambao ni wazazi tunaelewa uzito wake. Hapa nawaza ningekua sina uwezo wa kuwapeleka wanangu kwenye shule zisizo za kiserikali, halafu binti ametiwa mimba na katupwa nyumbani bila matumaini ya elimu tena, hainiingii akilini.
Halafu nyie walimu ndio muna hulka ya kuwatunga wanafunzi mimba ovyo ovyo na kuwalipia kwenye vituo vya kuavya, sasa tatizo linaingia pale mwanafunzi ametiwa mimba na mwanafunzi maskini mwenzie ambaye hawezi kugharamia huduma ya kuavya kama mwalimu.