Magufuli: No more education for girls who fall pregnant while at school.

Yuko sahihi mh Raisi inawezekanaje watu waandaliwe mazingira ya uzazi ilihali wapo bado shule. si ni sawa na kuhalalisha Ngono tu kwa watoto. Tuwe na hofu ya Mungu bana smtmz.

Uko sahihi kabisa. Hii mitoto ni shida sana. Inaanza kujua masuala ya ngono kabla ya hata kufikia u teenagers.
Sasa tukiruhusu tu baada ya mwaka tufanye tathimini ya idadi ya wajawazito wanafunzi KABLA na BAADA ya kuruhusiwa kuendelea na masomo baada ya kujifungua.

MAJIBU NI.... YOU CAN'T RESEARCH ON OBVIOUS. MIMBA ZITAKUWA NYINGI SANA BAADA YA KURUHUSIWA.
 
Ukiona mtu kama zitto junior wanatetea ni kwa vile hao ni vijana na wanatembea na watoto wa shule. I can tell you mwalimu au mzazi mwenye mtoto wa kike hawezi tetea hii kitu. Huwa namimi nawaeleza mabinti zangu kuwa kitendo cha kuanza ngono ni kuwa umekomaa na unaweza kujitegemea! Acha ngono ili nikulee siwezi kukulea halafu unataka nimlee mwanao. Je dume hilo lipo wapi!!!
 
Mkulu tell them the truth. Mambo ya unafiki ndiyo yaliyotufikisha hapa.
Le me tell you brother what you are telling them won't go without impacts. In future these kids will remember you and throughout their life will act and behave responsibly.
 
Hehehehe!! Aisei wewe ni kada damu, nilisubiri sana tamko lako kwenye hii issue, jameni hata kama tunawapenda marais wetu, tuwe na desturi ya kusema hapana pale wakikosea.

Mimi hapa ni shabiki wa rais Uhuru, na nitampa kura kwenye uchaguzi ujao, lakini itokee aibuke na upuzi kama huu, lazima nikatalie mbali.
Tatizo lenu ninyi mnasema ati wamekataliwa kupata elimu, tafsiri hiyo sio sahihi ndo mana wengi wenu mna laumu bila kufikiria. Kama rais wa nchi asema ruksa kuzaa watoto wa shule itakuwaje katika Tanzania ya leo ambayo maadili yameporomoka katika kiwango cha juu, Tanzania kuna mikoa inaongoza kwa mimba mashuleni ndugu yangu ni hatari. Kuna mikoa kama pwani, Lindi na Mtwara Usiseme?

Bado usukumani ni shida. Nadhani rais yupo sahihi, mana serikali inagharamia elimu hadi kidato cha nne, mtoto wako akipata mimba Jitahidi kama mzazi umutafutie shule private au mpeleke veta asome, serikali haikuzuii.

Mana hata wazazi tumekuwa soft sana katika malezi ya watoto wetu hasa sisi waafrika, mazingira yetu ni tofauti sana na wenzetu katika makuzi ya watoto wetu. Watoto wajue wajibu wao wakiwa shule, wasome badala ya kuendekeza bongo flava na mapenzi wakiwa shule.

Hili la kuendelea kusoma government schools wakati umeshazaa lingewapumbaza watoto, na limekuwa likiwapumbaza mda mrefu ndo mana Tanzania mimba za watoto wa shule ni nyingi sana, halafu mila na desturi za watu wetu hasa pwani ya bahari ya hindi ni sikitiko mazee.
 
Ukiona mtu kama zitto junior wanatetea ni kwa vile hao ni vijana na wanatembea na watoto wa shule. I can tell you mwalimu au mzazi mwenye mtoto wa kike hawezi tetea hii kitu. Huwa namimi nawaeleza mabinti zangu kuwa kitendo cha kuanza ngono ni kuwa umekomaa na unaweza kujitegemea! Acha ngono ili nikulee siwezi kukulea halafu unataka nimlee mwanao. Je dume hilo lipo wapi!!!
We jamaa mbona huelewi hoja yangu ilikuwa je kma shida ni maadili basi mimba isiwe kigezo mfukuze mpaka ambao sio bikra na wenye maboyfriend shuleni!!!

Sasa mnadai mnapinga ngono ila mnaacha wanaotoa mimba ina maana gani ssa??? Au kila mfanya ngono mpaka apate mimba??? Eti maadili afu rais mzima anasema ikifka chuo ruksa kwahyo maadili yana kikomo???mkuu hivi unaanzaje kusupport ujinga huuu

Yaani mimba ndoo akose elimu?? Sasa unamkomoa nani?? Afu miaka kumi ijayo awe tegemezi na mtoto naye awe tegemezi si mnazalisha nchi maskini??? Multiply effect mnaijua

Kituko mijitu humu haitoi solution ya jinsi gani ya kuzuia mimba zaidi inashabikia adhabu.... wenzenu kule uganda walipoona ubakaji unazidi wakazuia kwanza nguo fupi then wakaban movie za ngono na ubakaji ukapungua eventually ukimwi ukapungua ila wangesema solution ni kuongeza kifungo kwa wabakaji wangefanikiwa kweli???

Guys mmeenda shule gani for Allah's sake????
 
Tatizo lenu ninyi mnasema ati wamekataliwa kupata elimu, tafsiri hiyo sio sahihi ndo mana wengi wenu mna laumu bila kufikiria. Kama rais wa nchi asema ruksa kuzaa watoto wa shule itakuwaje katika Tanzania ya leo ambayo maadili yameporomoka katika kiwango cha juu, Tanzania kuna mikoa inaongoza kwa mimba mashuleni ndugu yangu ni hatari. Kuna mikoa kama pwani, Lindi na Mtwara Usiseme?

Bado usukumani ni shida. Nadhani rais yupo sahihi, mana serikali inagharamia elimu hadi kidato cha nne, mtoto wako akipata mimba Jitahidi kama mzazi umutafutie shule private au mpeleke veta asome, serikali haikuzuii.

Mana hata wazazi tumekuwa soft sana katika malezi ya watoto wetu hasa sisi waafrika, mazingira yetu ni tofauti sana na wenzetu katika makuzi ya watoto wetu. Watoto wajue wajibu wao wakiwa shule, wasome badala ya kuendekeza bongo flava na mapenzi wakiwa shule.

Hili la kuendelea kusoma government schools wakati umeshazaa lingewapumbaza watoto, na limekuwa likiwapumbaza mda mrefu ndo mana Tanzania mimba za watoto wa shule ni nyingi sana, halafu mila na desturi za watu wetu hasa pwani ya bahari ya hindi ni sikitiko mazee.
Mnashangaza sana kwahyo ngono ni mimba?? Si mfukuze yeyote asie bikra kma iran kinachowashinda nni mpaka mkazanie mimba mimba as if ngono ni mimba tu!!!!

Afu mbona hamtoi solution?? Chagamoto kma ya shule kuwa mbali,usimamizi mdogo wa wazazi n.k kwanni hamuelezi strategy za kusaida kuzimaliza changamoto hizi nyie mnasema tu ooh mimba zitazidi kwani mkiweka boarding na walimu wenye morale mnafkiri watashindwa zuia hili?? Malizeni changamoto ndio muanze fukuza fukuza ila otherwise mtakuwa mnaonea watoto wa watu afu mwisho wa siku nchi inajaa vilaza mategemezi

Leteni way forward kwamba mnamtimua and so??? Taifa linafaidika nni
 
Mkulu tell them the truth. Mambo ya unafiki ndiyo yaliyotufikisha hapa.
Le me tell you brother what you are telling them won't go without impacts. In future these kids will remember you and throughout their life will act and behave responsibly.
Which truth??? You have to get serious sometimes the problem is not only to the students but situational factors including long distance to school, inadequate qualified teachers, fetching water from distant ends, limited supervisio from community and parents among others.

Banning students indefinitely not only will increase iliteracy but multiply effect is eventually massive than the punishment itself it will not only create 2 dependants per each punished student but also lead to issues such as early marriages,poverty,iliteracy,trauma etc and in turn just degrading the life of poor tanzanians

I suggest before introducing such punishments the goverment and community should try and refuce the factors that influence child pregnancy for example increase high morale teachers, increased supervision,provision of facilities such as boarding/dormitories for girls and such remedies could help

U cant treat a problem by treating the impact but you can only treat a problem by outwiting the causes of that problem!!!!
 
Mnashangaza sana kwahyo ngono ni mimba?? Si mfukuze yeyote asie bikra kma iran kinachowashinda nni mpaka mkazanie mimba mimba as if ngono ni mimba tu!!!!

Afu mbona hamtoi solution?? Chagamoto kma ya shule kuwa mbali,usimamizi mdogo wa wazazi n.k kwanni hamuelezi strategy za kusaida kuzimaliza changamoto hizi nyie mnasema tu ooh mimba zitazidi kwani mkiweka boarding na walimu wenye morale mnafkiri watashindwa zuia hili?? Malizeni changamoto ndio muanze fukuza fukuza ila otherwise mtakuwa mnaonea watoto wa watu afu mwisho wa siku nchi inajaa vilaza mategemezi

Leteni way forward kwamba mnamtimua and so??? Taifa linafaidika nni
Mkuu zito ni lini shule za serikali zimewahi pokea mtoto aliyekuwa na mimba baada ya kujifungua akarudi kuendelea na masomo shule ya serikali? Hii sheria imekuwepo toka enzi ya Nyerere, ukipata mimba mojakwamoja unafukuzwa shule hilo linajulikana, sasa kwa vile magu kakazia limeonekana jipya!!?

Siku zote wazazi wamekuwa na wajibu wa kuwatafutia shule watoto wao pindi wanapofukuzwa shule kwa kosa la kuwa wajawazito, ni sheria ipo cku nyingi nashangaa watu wanapiga kelele vile magu kasema kilichokuwepo hakuna jipya. Wajibu wa mzazi kutafuta shule baada binti yako kujifungua, ama aende veta au evening class.

Kipi kigeni? maana huzuiliwi kumwendeleza mwanao, ebu kuwa mkweli ni shule ipi ya serikali iliyowahi mfukuza mwanafunzi kwa kosa la kubeba mimba akajifungua halafu same school ikampokea? nitajie shule na mwaka gani? Mara zote ikitokea watoto hufukuzwa shule maramoja. Magu alikuwa anasisitiza kilichopo kwa sera ya serikali ya elimu bure ambayo ni opportunity kwa watoto wa wa taifa hili.

Tujikiteni katika maadili kama taifa, kuna uzembe mwingi sana katika malezi miaka hii, na haya iliyasema pwani makusudi kabisa, mikoa ya mwambao mwa bahari ya Hindi ni tatizo kubwa sana, ripoti na tafiti mbalimbali zipo kudhibitisha hilo.
 
Dah ila watu sijui kwanni hamuelewi issue sio magufuli au nani angesema issue sera ni mbovu kwahyo kwakuwa sheria ilikuwepo toka enzi za nyerere basi magufuli akisisitiza inakuwa sawa??? Kwa mfano sheria inayoruhusu mtoto wa miaka 13 kuolewa kwa kuwa ipo toka enzi za nyerere basi magufuli akiisisitiza ni sawa tu??? Yaani hta kma ni mbaya??? Mbona sheria ya madini hajaisisitiza zaidi kasema ibadilishwe?? Y hii ya haki ya elimu aisisitize??

Nyie mnaoshabikia hii sheria sijui tamko hamjui kwamba tunaongeza mailiterates 8000 kila mwaka??? Kwani adhabu ni moja tu ya kumfuta shule ?? Kwani hamuwezi buni adhabu mbadala??? Mfano fine,kifungo cha nje n.k mbona bado wengine wangenyooka if at all wanafanya maksudi

Hoja haoa tuangalie faida ya taifa kwa adhabu yaani watoto 8000 kila mwaka watimuliwe shule then what?? Hivi tunalipeleka wapi taifa??? Unaanzia wapi kushabikia ujinga kma huu nyie wasomi ripoti zote za kitaalam na women emancipation zinapinga sheria hii afu nyie mnadai oooh wakiruhusiwa maadili yataporomoka ssa kma maadili mbona hamfukuzi wasio mabikra?? Mbona vyuo ukimwi umejaa na mimba na hamtimui watu???

Hyi sheria ni garbage garbage garbage kabisa yeyote anayeteta hii awamu ijayo itakapofutwa sijui mtaweka wapi sura zenu maana mnatetea kila kitu tu as long serikali imekileta
 
Mkulu tell them the truth. Mambo ya unafiki ndiyo yaliyotufikisha hapa.
Le me tell you brother what you are telling them won't go without impacts. In future these kids will remember you and throughout their life will act and behave responsibly.
Naweza kujitapa maana mabinti zangu huwa wanafika 25 kabla ya kujua hayo majombo na at least wanakuwa na degree zao mkononi.
 
We jamaa mbona huelewi hoja yangu ilikuwa je kma shida ni maadili basi mimba isiwe kigezo mfukuze mpaka ambao sio bikra na wenye maboyfriend shuleni!!!

Sasa mnadai mnapinga ngono ila mnaacha wanaotoa mimba ina maana gani ssa??? Au kila mfanya ngono mpaka apate mimba??? Eti maadili afu rais mzima anasema ikifka chuo ruksa kwahyo maadili yana kikomo???mkuu hivi unaanzaje kusupport ujinga huuu

Yaani mimba ndoo akose elimu?? Sasa unamkomoa nani?? Afu miaka kumi ijayo awe tegemezi na mtoto naye awe tegemezi si mnazalisha nchi maskini??? Multiply effect mnaijua

Kituko mijitu humu haitoi solution ya jinsi gani ya kuzuia mimba zaidi inashabikia adhabu.... wenzenu kule uganda walipoona ubakaji unazidi wakazuia kwanza nguo fupi then wakaban movie za ngono na ubakaji ukapungua eventually ukimwi ukapungua ila wangesema solution ni kuongeza kifungo kwa wabakaji wangefanikiwa kweli???

Guys mmeenda shule gani for Allah's sake????
Pole ila pekundu jibu ni kukuzidi wewe!
 
Dah ila watu sijui kwanni hamuelewi issue sio magufuli au nani angesema issue sera ni mbovu kwahyo kwakuwa sheria ilikuwepo toka enzi za nyerere basi magufuli akisisitiza inakuwa sawa??? Kwa mfano sheria inayoruhusu mtoto wa miaka 13 kuolewa kwa kuwa ipo toka enzi za nyerere basi magufuli akiisisitiza ni sawa tu??? Yaani hta kma ni mbaya??? Mbona sheria ya madini hajaisisitiza zaidi kasema ibadilishwe?? Y hii ya haki ya elimu aisisitize??

Nyie mnaoshabikia hii sheria sijui tamko hamjui kwamba tunaongeza mailiterates 8000 kila mwaka??? Kwani adhabu ni moja tu ya kumfuta shule ?? Kwani hamuwezi buni adhabu mbadala??? Mfano fine,kifungo cha nje n.k mbona bado wengine wangenyooka if at all wanafanya maksudi

Hoja haoa tuangalie faida ya taifa kwa adhabu yaani watoto 8000 kila mwaka watimuliwe shule then what?? Hivi tunalipeleka wapi taifa??? Unaanzia wapi kushabikia ujinga kma huu nyie wasomi ripoti zote za kitaalam na women emancipation zinapinga sheria hii afu nyie mnadai oooh wakiruhusiwa maadili yataporomoka ssa kma maadili mbona hamfukuzi wasio mabikra?? Mbona vyuo ukimwi umejaa na mimba na hamtimui watu???

Hyi sheria ni garbage garbage garbage kabisa yeyote anayeteta hii awamu ijayo itakapofutwa sijui mtaweka wapi sura zenu maana mnatetea kila kitu tu as long serikali imekileta
Mkuu zito, mbona hukuwahi ipigia kelele tokea enzi za Nyerere watoto wanafukuzwa mbona ulikuwa kimya? Au tuseme ulikuwa haujui? Anyway case closed mwenye nchi kasema hasomeshi wazazi hivyo mi nawewe hata tukivutana mashati ni kazi bure, wapo wenye wajibu wa kurekebisha sheria watayaona haya yanayojadiliwa maadam humu jamvini wamo watashughulika, asante kwa mda wako.
 
Pole ila pekundu jibu ni kukuzidi wewe!
Acha dharau wwe njoo pm nikuonyeshe vyeti na CV na wwe ulete vyako!!! Am younger than u mara mbili ila am sure kma vyeti tu hunikuti na najiamini kwa hilo!!!

Na kma kweli una elimu kuliko mimi then una vyeti vitupu ila kichwani mweupe sana huwezi ukawa una elimu kubwa kma unayojisifia nayo then ukasupport ushenzi huu wa kutengeneza iliterates 10,000 kila mwaka

Mkuu kma wwe ni msomi basi tuna safari ndefu sana kma taifa
 
Mkuu zito, mbona hukuwahi ipigia kelele tokea enzi za Nyerere watoto wanafukuzwa mbona ulikuwa kimya? Au tuseme ulikuwa haujui? Anyway case closed mwenye nchi kasema hasomeshi wazazi hivyo mi nawewe hata tukivutana mashati ni kazi bure, wapo wenye wajibu wa kurekebisha sheria watayaona haya yanayojadiliwa maadam humu jamvini wamo watashughulika, asante kwa mda wako.
Kelel zimepigwa muda mrefu hatimaye maccm yakaamua kuweka kwenye ilani yao ghafla amekuja ameifuta tena hyo kauli ya chama chao!!! Kma mahakama ya kadhi imeombwa miaka mingi ikahaidiwa kwenye ilani mwisho wa siku ikapotezewa sasa hapo ndio nani hajapiga kelele??

Case closed kwa serikali ila haina maana wananchi tunyamaze tutapiga kelele mpaka dikteta uchwara asimamie walichoahidi yye na samia kwenye kampeni za 2015 hilo pamoja na ndoa za utotoni zilizohalalishwa na serikali

Anyway asante kwa muda wako pia
 
Acha dharau wwe njoo pm nikuonyeshe vyeti na CV na wwe ulete vyako!!! Am younger than u mara mbili ila am sure kma vyeti tu hunikuti na najiamini kwa hilo!!!

Na kma kweli una elimu kuliko mimi then una vyeti vitupu ila kichwani mweupe sana huwezi ukawa una elimu kubwa kma unayojisifia nayo then ukasupport ushenzi huu wa kutengeneza iliterates 10,000 kila mwaka

Mkuu kma wwe ni msomi basi tuna safari ndefu sana kma taifa
kuna tofauti kati ya kwenda shule na kuelimika. Pole sana ndugu yangu hakuna anayeweza kukuelimisha
 
Eti na huyu hana haki ya kupata elimu?
Everyone makes mistakes in life, kwa biography ya Obama alivukuwa anapenda kuvuta bange pia..maskini tz wataumia acha tuu
FB_IMG_1498455149396.jpg
 
Back
Top Bottom