Magufuli: No more education for girls who fall pregnant while at school.


Kile nimenotice makada wengi wa CCM huwa mnashadadia kila anachosema Magu bila hata kutumia akili, halafu kesho akibadilisha kauli, nyote mnabadilika kama upepo.

Ikuingie kwamba Uhuru akiibuka na utumbo kama huu atapingwa mpaka ashangae, hamna cha Jubilee wala nini, hili linahusu malezi, na kwa sisi ambao ni wazazi tunaelewa uzito wake. Hapa nawaza ningekua sina uwezo wa kuwapeleka wanangu kwenye shule zisizo za kiserikali, halafu binti ametiwa mimba na katupwa nyumbani bila matumaini ya elimu tena, hainiingii akilini.

Halafu nyie walimu ndio muna hulka ya kuwatunga wanafunzi mimba ovyo ovyo na kuwalipia kwenye vituo vya kuavya, sasa tatizo linaingia pale mwanafunzi ametiwa mimba na mwanafunzi maskini mwenzie ambaye hawezi kugharamia huduma ya kuavya kama mwalimu.
 
Haya basi Watz, kama mmekubali hilo basi pia mkubali litakalofwata... The next logical step...

The same lack of judgement that leads teenagers to have sex is the same lack of judgement that leads adults to have unprotected sex and end up contracting HIV&Aids ... So seems the government wont give free education to pregnant teens.. If Tz give free ARV's to HIV patients like they do in Kenya, then the next logical step for Tanzania is to stop giving free ARV to HIV + people because they had careless unprotected sex with people they hardly knew.. Au vipi??? It is their own fault they had unprotected sex with strangers, only those who were infected by other means should get free ARV, hao wengine 'wanafaa kuchagua, safe sex au ukishikwa na ukimwi kanunie ARV kwa hospitali ya kibinafsi'
 
Kinacho nishangaza eti wakenya mnajifanya mmeumia zaidi kuliko watz unafiki mtupu !!!!!
 
Kinacho nishangaza eti wakenya mnajifanya mmeumia zaidi kuliko watz unafiki mtupu !!!!!
Hatujifanyi, hio story imenikera .... Sisi wakenya hua mara nyingi tuna mitazamo tofauti lakini kuna itikadi flani za jamii hua unakuta sote tunamatarajio flani
 
Hatujifanyi, hio story imenikera .... Sisi wakenya hua mara nyingi tuna mitazamo tofauti lakini kuna itikadi flani za jamii hua unakuta sote tunamatarajio flani
Sijaelewa ulicho andika
 
Wakati mwingine inakuwa ngumu Sana kusapoti serikali. Mfano kwenye hili la mimba. Usije shangaa akasema alikuwa anafanya utani kwa Wakwere kama alivyofanya kwa wazaramo alipowaambia wavyatue watoto.
 
Wengi wetu humu ni wazazi ndo maana unaona mijadala ya vijana ya kitusiana huwa tunaachana nayo!

Lakini naomba nikuhakikishie kuwa, kwa mfumo uliopo Tanzania, binti anayepata mimba kama kweli anahitaji kusoma, kupata mimba sio mwisho wa ndoto yake! Labda niseme kwanza kuwa kuna wanafunzi ambao kwenda shule huwa ni kama wamelazimishwa tu! Hawa hata ukifanyaje hata wasipopata ujauzito hawatafanya chochote!

Tuchukulie mfano, mwanafunzi kapata ujauzito, akijifungua anaweza kwenda VETA, gharama za VETA ni kidogo sana, zinalingana tu na gharama za shule za serikali au chini ya hapo kabisa! Akiwa huko mwanafunzi atachagua anachotaka kusoma, anasoma ngazi ya cheti, baadae diploma na akimaliza anaendelea chuo kikuu! Narudia tena, gharama za veta ni ndogo sana ambazo watanzania wanazimudu kabisa!

Au basi tuseme huyu mwanafunzi kapata mimba kabla hata hajamaliza hata shule ya msingi, akijifungua atajiunga na darasa la MEMKWA na hapo atafanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, baadae veta hadi chuo kikuu!

Hivyo tofauti inayokuwepo hapo ni njia za kupitia tu kusoma, kila kitu kinawezekana!
 
Well, ndo maana ikashauliwa kuwa ikitokea hali hiyo basi mwanafunzi huyo aende veta ambako serikali inatoa pia pesa kwa ajili ya kuwafadhili wanafunzi wanaopitia mfumo huo! Fuatilia post niliyomwleza MK254 inafafanua vizuri kuhusu hii veta
 
Mzee, sio kuwa watanzania wote wamelichukulia kwa mtazamo chanya! Kila mtu anatoa maoni yake kutokana na mtazamo wake! Fuatilia mijadala hapa hapa jf majukwaa mengine utaona mitazamo tofauti!
 

Kwa jinsi ulivyoiweka, ni wazi hata tukijadili hadi kuzimu hutoweza kuona mantiki au kubadilisha mtazamo, hivyo nakuaga, ila kwa kukutajia tu kwamba kuteleza sio kuanguka na hata ukianguka unaweza ukanyanyuka na kushinda kwenye mbio. Msichana kutungwa mimba na kutolewa nje ya mfumo wa masomo ni unyanyasaji uliokithiri.

Mimi hapa binafsi kuna kosa nilitenda nikiwa kwenye darasa la nane, ambalo sitalitolea taarifa humu, lakini lilikua la kuniangusha kabisa, kiasi kwamba maisha yangu yalikua yakwame na nitolewe nje ya mfumo. Lakini kwa njia moja au nyingine nilifaulu kurudi ndani ya mapambano ya elimu, na leo nipo hapa nafurahia matunda yake.

Nitakua wa mwisho kushadadia maamuzi yanayohusu kumzuia mtu asiendelee na masomo, hususan kwa wale ambao wapo tayari na wana uchu wa elimu. Kuna wale wanataka na wana nia ya kuendelea kussaka elimu, ni pale bahati mbaya waliteleza tu, na sio wa kwanza kuteleza, sie hata katika ukubwa huu tunateleza kimaisha, tunajikwaa na kuangukia kwa pua mara nyingi kimaisha lakini tunapambana, tunanyanyuka na kufuta vumbi na kupambana, ndio maisha yalivyo na hayana usawa wala haki.
 
Alafu, did you know, when you are sexually aroused with desire, a certain chemical is released in the brain, this chemical blocks the part of the brain that deals with reasoning, consequence, logic, That's why even the risk of STDs bieng very high esp in the cities, responsible adults end up having unprotected sex... Hata kama kuna rumour kwamba demi flani ako nao, bado akikupatia unachukua!
Sasa kama watu wazima na uweledi wao wote wanashindwa kujizuia, sembuse vijana ambao wameanza kubalehe? Nyege zinawasumbua, damu moto wanataka kuingiza kitu kwa tundu yoyote...
 
Labda hujaelewa vizuri kuwa kwa mfumo wa Tanzania sio kweli kuwa kutoendelea na elim ya secondary ndo umeondolewa kwenye mfumo wa elimu, nimekueleza kuwa kama amemaliza darasa la saba basi atapita veta ambako sifa mojawapo ni elim ya msingi! Na kama hajamaliza elimu ya msingi basi atachukua mfumo wa memkwa(mpango wa elim ya msingi kwa walioikosa) Halafu atamaliza darasa la saba na kwenda veta!

Shida ni kuwa kuna watu hawaifuatilii mifumo hii! Gharama za huko ni kidogo sana ambazo hata mtanzania wa mwisho huweza kumudu!
 

Hehehe this is so true, yaani so true man. There is a point you can reach hata ukiambiwa demu ana ukimwi hujali, you turn into some creature not ready to listen to reason, you are fired up and confused. That's why it's always better to avoid any temptations.
 
Tanzani, and indeed the whole of Africa should focus on teaching the youngsters reproductive health and stuff from the tender age. I recently caught my 9yr old nephew watching porn on the ipad, (the dad left one just for those two boys to play with) I went thru the browsing history and......with entry- words such as ''sexy gal naked", "people fvcking each other" . These kids these days, for their age are a little too precocious- in such matters i mean.
I thot they wouldnt take my advice seriously,so I alerted their mother, just to talk to them, not to punish them.

They know these things, there is no point the parents and teachers cringing about the idea of talking to children about sex.

Strict upbringing of children has proven a failure, in fact it is the girl- child who is brought up in a very austere environment who is likely to end up pregnant bfore adulthood. Why not just be open with them?
 
Yes, ni bora hao watumike kama mifano mizuri ili kuokoa maelfu ya watoto wengine ambao wataogopa na wao kuwakuta mambo kama hayo!


Ili mbegu iote lazima ife kwanza
Can it be learnt from your experience ? How such situation has or was dealt in your place? Are Students cum Mothers stay in the same boarding schools with the rest?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…