LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Hii si propaganda? Niambie mmoja unayemjua jinaSi nimesema hapo juu ujumbe ni kwa wazungu wakenya (white Kenyan's) au hukuona. Tunao wazungu wenye uraia wa Kenya wamechukuwa mashamba makubwa bila kuyaendeleza.
This i agree 100%
Raila will do the same akiwa prezo
Botswana did this in 1999
South Africa in 1994
Zimbabwe blundered
what is 150 Acres to Kenyatta's that owns over 500,000 acres around KenyaWhen will Raila first distribute his undeveloped 150 Acre "farm"? It is for this reason that i can never vote for Raila. The guy knows how to destroy but hawezi jenga
will redistribute land. It's Samuel who's telling us that Raila will distribute land. This discussion is above your paygrade.what is 150 Acres to Kenyatta's that owns over 500,000 acres around Kenya
Okay mkuu.....he will buy land from large farm owners at Cheaper prices and Sell them at a further discounted prices to Hard working Kenyan Farmers...And will Greately solve land injustices in Kenya ....if this aint accomplished by mid 2019 assuming he takes office i will support whoever is ur pick for 2022 and Eat a humble pie HAPA!!I would like to challenge you to bet on this one, agree?
SeriouslyWhen will Raila first distribute his undeveloped 150 Acre "farm"? It is for this reason that i can never vote for Raila. The guy knows how to destroy but hawezi jenga
Smh ...naona hata Haujui chochotr so Bye.Ati South Africa did it in 1994? Hehehe...Very funny. Source? Link?
This i agree 100%
Raila will do the same akiwa prezo
Seriously
Kenyatta Ako na 129,000 acres undeveloped kule Kajiado na Unaingilia Raila smh!!
Hamna shame nyi supporters wa hii Administration kabsaa
Moi ako na 48,000 acres ime lala tu
Kibaki alishindwa kudevelope 2000 acres yake gapa Nakuru akauza ili aweze kulipa bill yake SA
Kuki Galman huyo mu ITALIA ana 100,000 acres pale Laikipia imelala tu Juzi amepigwa risasi ndio unaskia news za ufala
Olpejeta ina less than 50 rhinos Roaming on more than 238,000 acres of Prime Fertile land sio ile ya North eastern
Smh
Mm mkulima hapa Acre moja Nakuru Outskirts Gilgil sai ni 800,000kshs
Naivasha ni 1.3mn
In SA ku break even kwa farm yako you need 300acres atleast to be a commercial farmer ....alafu nyie ndii mtaingia supermarket Kuchukua yellow animal feeds from Russia and Ukraine alafu Blame Army worm infestation on low harvest levels as if zingekosa kuja tunge pata great harvests smh!!
Upumbavu wa Wakikuyu humu ndani..Seriously

Boss ask anyone hereTatizo lenu nyie mnaangalia tu mashamba. Land is just one of the factors of production. Kuna mashamba mengi sana kule western hazifanyi kazi na zinamilikiwa na individuals. Ni kulala tu. Kisha nyie mnaona ile shamba ya wakubwa kwasababu ya tamaa. Kule malindi nimeona juzi shamba ni 100K an acre. Kuna wakati Migori shamba iliuzwa kwa 40K an acre. Badala ya kufikiria jinsi hizi shamba zitapata maximum returns, tunafikiri jinsi ya kunyang'anya watu mashamba. Huo ni upuuzi. Hii ndio tabia ya bomoabomoa no wonder Maguli alipewa hilo Jina. Tunafikiri kusubdivide mashamba ilhali yafaa tufanye land consolidation ndio tuwe na economies of scale.
Kile kinachohitajika ili kufanya watu wasiwe wakispeculate na kuacha shamba zinalala ovyo, ni kuhakikisha ya kuwa wanalipa ushuru kwa shamba ambalo liko idle.
Hii tabia ya bomoabomoa ni mbaya sana. Kila institution ni kuponda na kuibomoa. Badala ya kufikiri kujenga taasisi ziweze kujisimamia, ni kuzibomoa tu.
Hizo Ranches za wildlife zafaa zijengwe ikiwa ziko na excess capacity. Badala ya kufikiri jinsi hiyo ranch itagawanywa, Yafaa tujiulize, tutafanyaje hiyo ranch iwe na 1000 Rhinos, 2000 Lions na 1,000 Elephants. Huo ndio Ujenzi
Wewe nani atakuombea?Unapoamka Asubuhi si vibaya kumkumbuka Mungu na katika sala zako muombee Rais wetu awe na afya bora ya kimwili na kiakili na amuongezee ujasiri.
Tanzania ardhi ni ya serikali, hivyo kama rais unaweza kuamka asubuhi na kubwatuka chochote, kuna jamaa yangu Mtanzania, ardhi yake ilitaifishwa pale Bagamoyo baada ya kukosa kuifanyia kazi au kuboresha kwa miaka kadhaa.
Kule rais anaweza kufanya maamuzi ya kukuhamisha eneo lako na huna uwezo wa kubisha na ndio maana hata bomba la Uganda ilibidi lipitie Tanzania.

Haujuwi sheria ya ardhi ya Tanzania. Rais hawezi kukunyang'anya ardhi, ila sheria ndio inaweza kuchukuwa hiyo ardhi. Ukiwa na Title Deed (TD) na umendeleza hiyo ardhi au una mpango endelevu wa kuiendeleza, unatakiwa ulipwe fidia pale ardhi yako itakapo hitajika kawaajili ya shughuli za kimaendeleo. By law, yoyote mwenye TD anapewa miaka mitatu kuiendeleza hiyo ardhi tokea tarehe ya kwanza ya TD. Ukishidwa, hiyo ardhi inarudishwa serikalini na kupewa mtu mwingine. Huyo rafiki yako amekudanganya, kama ulimpa hela akununulie ardhi halufu anakuja na story kama hizo, ujuwe umeshaachwa chini ya mti.Tanzania ardhi ni ya serikali, hivyo kama rais unaweza kuamka asubuhi na kubwatuka chochote, kuna jamaa yangu Mtanzania, ardhi yake ilitaifishwa pale Bagamoyo baada ya kukosa kuifanyia kazi au kuboresha kwa miaka kadhaa.
Kule rais anaweza kufanya maamuzi ya kukuhamisha eneo lako na huna uwezo wa kubisha na ndio maana hata bomba la Uganda ilibidi lipitie Tanzania.
Haujuwi sheria ya ardhi ya Tanzania. Rais hawezi kukunyang'anya ardhi, ila sheria ndio inaweza kuchukuwa hiyo ardhi. Ukiwa na Title Deed (TD) na umendeleza hiyo ardhi au una mpango endelevu wa kuiendeleza, unatakiwa ulipwe fidia pale ardhi yako itakapo hitajika kawaajili ya shughuli za kimaendeleo. By law, yoyote mwenye TD anapewa miaka mitatu kuiendeleza hiyo ardhi tokea tarehe ya kwanza ya TD. Ukishidwa, hiyo ardhi inarudishwa serikalini na kupewa mtu mwingine. Huyo rafiki yako amekudanganya, kama ulimpa hela akununulie ardhi halufu anakuja na story kama hizo, ujuwe umeshaachwa chini ya mti.