Tatizo lenu nyie mnaangalia tu mashamba. Land is just one of the factors of production. Kuna mashamba mengi sana kule western hazifanyi kazi na zinamilikiwa na individuals. Ni kulala tu. Kisha nyie mnaona ile shamba ya wakubwa kwasababu ya tamaa. Kule malindi nimeona juzi shamba ni 100K an acre. Kuna wakati Migori shamba iliuzwa kwa 40K an acre. Badala ya kufikiria jinsi hizi shamba zitapata maximum returns, tunafikiri jinsi ya kunyang'anya watu mashamba. Huo ni upuuzi. Hii ndio tabia ya bomoabomoa no wonder Maguli alipewa hilo Jina. Tunafikiri kusubdivide mashamba ilhali yafaa tufanye land consolidation ndio tuwe na economies of scale.
Kile kinachohitajika ili kufanya watu wasiwe wakispeculate na kuacha shamba zinalala ovyo, ni kuhakikisha ya kuwa wanalipa ushuru kwa shamba ambalo liko idle.
Hii tabia ya bomoabomoa ni mbaya sana. Kila institution ni kuponda na kuibomoa. Badala ya kufikiri kujenga taasisi ziweze kujisimamia, ni kuzibomoa tu.
Hizo Ranches za wildlife zafaa zijengwe ikiwa ziko na excess capacity. Badala ya kufikiri jinsi hiyo ranch itagawanywa, Yafaa tujiulize, tutafanyaje hiyo ranch iwe na 1000 Rhinos, 2000 Lions na 1,000 Elephants. Huo ndio Ujenzi