Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo.

Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura.

Kwanini asijikite kuwaeleza atawafanyia nini waTz ktk miaka 5 inayokuja, na badala yake anashambulia wapinzani kwa hoja za uongo?

Tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe ni mpinzani gani ameharibu miundombinu ya nchi hii?

Kuhusu kulinda rasilimali zetu, kila mmoja anajua mikataba yooote mibovu ya kifisadi ilisainiwa baina ya serikali za ccm na makampuni ya kibeberu.

Video hii hapa msikilize tangu dakika ya 4:00.


 
Alimaanisha hata angekuja kiongozi yeyote tofauti na yeye kwa kipindi hata kama ni CCM wangeweza wasimalizie muradi hii kama wao waliyoiasisi.Kwahyo usipotoshe
 
Back
Top Bottom