fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Imeisha
Corona ipo au imekwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona ipo au imekwisha
Mgumu kwake yeye lisu na genge lake la wahuni"UCHAGUZI WA MWAKA HUU NI MGUMU SANA"BY TUNDU LISU
Nyie ndo mnamjaza ujinga lisu ajione tembo kumbe chawa tuUjio wa Lissu umewachanganya sana mafisiem
Kweli kabisa tuweke kumbukumbu kwa hawa uyoga!Unajiuliza watu wanaochukizwa na kila Jambo la maendeleo linalofanyika wakipata nafasi watafanya nini juu ya vile wasivyovipenda.
Mgombea wa Urais kupitia ACT aliwahi kutoa ahadi kuwa akiwa Rais maadui zake 11 watakimbilia Kenya.
Wewe daby ni sh.ger nenda kajadili mapenzi kule uliko jikita jukwaa la mapenzi. Wewe unawaza ngono tu mambo ya nchi huwezi kujua mkuu.Magufuli ni moja ya viongozi wachache saana ambao utawapata Afrika.
Uongozi wake sio wa nadharia.... unaongea matatizo halisi yanatukabili na kadri ya uwezo wako unayafanyia kazi.
Mwamba mbona hujaeleweka, unaonekana unahisi kuna makosa kwenye kauli hiyo...hicho ni kiswahili kimenyooka tu ila watu tu ndo mnataka kuleta tafsiri zenu.Jana tuu kauliza wananchi eti wanataka kupanuliwa wapi. japo alikuwa sahihi ila aliuliza kama kumaanisha fulani
Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo.
Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura.
Kwanini asijikite kuwaeleza atawafanyia nini waTz ktk miaka 5 inayokuja, na badala yake anashambulia wapinzani kwa hoja za uongo?
Tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe ni mpinzani gani ameharibu miundombinu ya nchi hii?
Kuhusu kulinda rasilimali zetu, kila mmoja anajua mikataba yooote mibovu ya kifisadi ilisainiwa baina ya serikali za ccm na makampuni ya kibeberu.
Video hii hapa msikilize tangu dakika ya 4:00.
Hahahah.. Mkuu hongereni sana kwa kitendo cha kizalendo. Dawa ya hawa wapuuzi ni kwenda nao jino kwa jino polisi wakifika tayari boya mmemkalisha amefloatKuna mnyanyembe mmoja alikua amevaa tshirt ya Chadema.aling'oa alama ya barabarani.tulimgongesha kichapo cha kimataifa kisha tukampeleka ngomeni kwa pilato.
Sawa sijabisha kila mtu ana uekewa wakeMwamba mbona hujaeleweka, unaonekana unahisi kuna makosa kwenye kauli hiyo...hicho ni kiswahili kimenyooka tu ila watu tu ndo mnataka kuleta tafsiri zenu.
Wewe ni nani unayebisha kama Meko mwenyewe leo kawaambia mboga mboga wenzie wasibweteke kuwa wameshashinda uchaguzi.Mgumu kwake yeye lisu na genge lake la wahuni
Kawa na hofu sana mzee huyuLissu amewashika vibaya! haya siyo maneno ya kusemwa na Rais! Ni dalili za kuhangaika and the last outcome ni kuwapiga watu risasi!
Kweli hata Mimi nimemsikia Ni Kama haamini hivi,Tena kaomba kampeni ziwe kitanda kwa kitanda.hii Ni kauli ya kuonA mziki uliopo Ni mnene.Wewe ni nani unayebisha kama Meko mwenyewe leo kawaambia mboga mboga wenzie wasibweteke kuwa wameshashinda uchaguzi.
Walisema Chadema imekufa,Sasa kampeni ya kitanda kwa kitanda Ni ya Nini Tena.Kawa na hofu sana mzee huyu
Wanamshangilia na kumwabudu..na mnyanyembe aliyevaa shati la ccm ameuza nyumba za serikali kwa bei ya kifisadi na amenunua kivuko kibovu mmemfanya nini?