Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

Nimeitoa wapi?!!
For asking such a question, nimegundua kumbe nabadiishana mawazo na mtu ambaye si sahihi, not only absent minded but also narrow minded person.
Vijana wa chadema dharau ndio hobby yenu, unaulizwa swali unaleta jazba sijui hata mitihani darasani mnajibu vipi
 
Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo.

Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura.

Kwanini asijikite kuwaeleza atawafanyia nini waTz ktk miaka 5 inayokuja, na badala yake anashambulia wapinzani kwa hoja za uongo?

Tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe ni mpinzani gani ameharibu miundombinu ya nchi hii?

Kuhusu kulinda rasilimali zetu, kila mmoja anajua mikataba yooote mibovu ya kifisadi ilisainiwa baina ya serikali za ccm na makampuni ya kibeberu.

Video hii hapa msikilize tangu dakika ya 4:00.

Hata mimi hiyo kauli naiwekea alama yaa kiulizo ? ' lakini kwavile jamii zetu unafiki ni sehemu ya maisha basi inabidi tushangilie tu!
 
Ndo maana uchumi wetu unakufa maana rais yupo busy na petty issues.probably uwezo wake upo kwenye kudeal na hizi petty issues
Mbona taarifa zinasema uchumi unakua wewe zako unazitoa wapi mkuu?
 
Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo.

Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura.

Kwanini asijikite kuwaeleza atawafanyia nini waTz ktk miaka 5 inayokuja, na badala yake anashambulia wapinzani kwa hoja za uongo?

Tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe ni mpinzani gani ameharibu miundombinu ya nchi hii?

Kuhusu kulinda rasilimali zetu, kila mmoja anajua mikataba yooote mibovu ya kifisadi ilisainiwa baina ya serikali za ccm na makampuni ya kibeberu.

Video hii hapa msikilize tangu dakika ya 4:00.

Hio ndio siasa kutoka lowasa kuwa fisadi hadi kuwa mwanamabadiliko
 
Hata mimi hiyo kauli naiwekea alama yaa kiulizo ? ' lakini kwavile jamii zetu unafiki ni sehemu ya maisha basi inabidi tushangilie tu!

..hivi wakati akisema URONGO wa waziwazi namna hiyo alikuwa amemtanguliza MUNGU mbele?
 
..hivi wakati akisema URONGO wa waziwazi namna hiyo alikuwa amemtanguliza MUNGU mbele?
Hivi wapinzani kweli wanaweza kuvunja madaraja? ama wewe uamue uvunje nyumba yako 'are you normal' je una hofu ya Mungu
 
Huenda aliongea kisiasa tu kama utani sidhani kama kuna mpinzani anaweza kuvunja miundombinu hata kuharibu tu hawawezi maana ni watu wenye akili timamu.
Hapana sio utani mwanakampeni mwenzake katoa mpya ya kijinga kama hiyo. Yuko tume sijui inaitwa ya uchaguzi eti kadai Lissu kasema akishindwa ataingiza watu barabarani wakati Lissu alisema atafanya hivyo akiibiwa kura.. Unaona jinsi alivyoigeuza sentenso kwaajili ya kuwachota akili wabongo wenye akili za kupima?
 
Kwa nini tubomoe na pesa ni yetu!
Shida ya mkulu anaona au anaamini ni pesa yake kama si ya sisiem wakati ni ya WALIPA KODI ambao ni WANANCHI WALIO NA VYAMA NA WASIO NA CHAMA
Asichanganye mambo
 
Back
Top Bottom