fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Yaani we ulichoshindwa kutofautisha ni economic growth and economic development which are different in economic perspective.Hizi hoja za maendeleo ya watu au vitu kidogo huwa zinanichanganya, sababu siamini kama kuna maendeleo ya watu bila vitu au maendeleo ya vitu bila watu.
1. Hivi daraja hujengwa kwa ajili ya nani?
2. Ndege hununuliwa kwa ajili ya nani?
2. Umeme ni kwa ajili ya nani?
Labda nimeenda mbali sana.
Hivi unaponunua makochi ndani kwako, vitanda, nguo hivi vyote ni vitu. Lakini vitu hivi ni kwa ajili ya watu. Naamini kwamba tunaposema mtu fulani ameendelea ni pamoja na vitu anavyomiliki.
Nimejiuliza sana kwamba hivi maendeleo ya vitu yakoje? Sanamu huvishwa nguo? Sanamu hupelekwa shule na watu kuachwa nyumbani! Wanasiasa wananichanganya kidogo. Kwa mbali ni kama nimekimbia mada lakini nahitaji msaada.
Hatua ya kwanza ya maendeleo si vitu bali ni people's welfare being