Kuna mnyanyembe mmoja alikua amevaa tshirt ya Chadema.aling'oa alama ya barabarani.tulimgongesha kichapo cha kimataifa kisha tukampeleka ngomeni kwa pilato.
Sema aliyekuwa MgombeaLisu amewashika vibaya! haya siyo maneno ya kusemwa na Rais! Ni dalili za kuhangaika and the last outcome ni kuwapiga watu risasi!
Kapicha pleaseKuna mnyanyembe mmoja alikua amevaa tshirt ya Chadema.aling'oa alama ya barabarani.tulimgongesha kichapo cha kimataifa kisha tukampeleka ngomeni kwa pilato.
Bado ni Rais...Sema aliyekuwa Mgombea
Licha ya hivyo alimfukuza CAG baada ya shortfall ya 1.5 T isiyo na maelezo..na mnyanyembe aliyevaa shati la ccm ameuza nyumba za serikali kwa bei ya kifisadi na amenunua kivuko kibovu mmemfanya nini?
UnachekeshaBado ni Rais...
Jana tuu kauliza wananchi eti wanataka kupanuliwa wapi. japo alikuwa sahihi ila aliuliza kama kumaanisha fulani
Zilikua kwenye cm iliyoibiwa na Mchadema mwingine tena.Kapicha please
Alimaanisha hata angekuja kiongozi yeyote tofauti na yeye kwa kipindi hata kama ni CCM wangeweza wasimalizie muradi hii kama wao waliyoiasisi.Kwahyo usipotoshe