Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

Very true na asante sana JPM kwa kuueleza 'ukweli' huu.
Hii ni kwa sababu hiyo NEC hata ikiwa bila Jaji Lubuva daima itaendelea 'kutangaza matokeo kadri inavyoletewa'!
Hahaaaaaaa mkuu kadiri yanavyoletwa.... Nakumbuka sana hi kauli. Na alivyokuwa anatafsiri kiingereza. Nampa big up... Si kazi ndogo atiii.
 
Very true na asante sana JPM kwa kuueleza 'ukweli' huu.
Hii ni kwa sababu hiyo NEC hata ikiwa bila Jaji Lubuva daima itaendelea 'kutangaza matokeo kadri inavyoletewa'!
Nashukuru kwa kunisemea! Wakati wa jk yalipitia mikocheni kwa mir...i na kwenda tume.Magufuri matokeo yalipitia kurasini na keko ndio yakamfikia Lubuva na kailima wakatangaza! Hata babu Duni alipopeleka barua kuwaambia mbona mwatangaza tofauti hakupokelewa wala kusikilizwa! Bila kubadili amri za uchaguzi na kuwa sheria za kuwa tume huru ya uchaguzi kweli mtatawala milele! Mie nimeapa bila tume huru na sheria kubadilishwa SIPUGI KURA TENA!.
 
Wewe ni mpumbafu Huwezi linganisha ccm ambayo ipo nchi nzima na chadema ambayo bado ni changa! Wadanganyika wameamka na bila kuchakachua hakika nchi mngeiachia.watoto wa vyuo mliwazuia kupiga kura na uchakachuaji mwingi sana mlofanya mpaka tume ya haki za binadamu waliokuwa na matokeo kamili mkavamia na kuchukua computer zao na vsheria vyenu vya kipuuzi.Mkatengeneza ajali kwa kijo bisimba alikuwa na data zote kichwani mpaka leo hajalejea toka india… Duh very painfully… Jinsi unavyoendelea kujua mambo mengi ndio unapoengeza huzuni yako kwani mengi hufanyika kinyume na ukweli!
 
kwani yeye ndo anaamua?????
hii nchi ni ya katiba huru so atafata katiba sio mawazo yake kma wenu mr roporop;o

Hongereni Miungu ambao Tanzania ni Mali yenu! Kuna aliyekufuru na Kusema, "Mama yangu ana Miaka Tisini Na, Mimi nitaishi Kumwona Raisi huyu akimaliza miaka yake 10, Kisha Nitamuona na Mwingine, baada ya hapo sijui" alikuwa na miaka 75 ilikuwa Ni 1997 aliyasema haya katika birthday yake, Lakini Miaka Miwili Baadaye aifariki. Tena Huyu hakuwa mtu Mdogo, Alikuwa Mwalimu Nyerere. Mh. Magufuli acha kufuru! Anayedhani amesimama aangalie
 
Yupo sahihi kabisa, ccm ni chama cha MWISHO kutawala Tanzania, vyama vya upinzani ipo siku VITAONGOZA Tanzania, kuwapeleka kwenye maisha ya asali na maziwa maana nchi hii ina vyote hivyo, Magufuli ni mtawala wa mwisho kutoka ccm kutawala hii nchi, aendeleze udikteta wake ili wananchi waumie zaidi ya awamu zao zilizopita Mungu si kiziwi hata asitusikie watanzania.
 
am sure watangoka2 siku1,..
kwani kilio cha wengi Mungu atatujibu2 kwa huruma
nao watakuja kuaibika 1day hao ccm
 
ni sahihi wao c wanajivunia kuiba kula kwao
thats y wanajua watatawala milele.,...
mambo yanabadilika wakuu msijali
 
am sure watangoka2 siku1,..
kwani kilio cha wengi Mungu atatujibu2 kwa huruma
nao watakuja kuaibika 1day hao ccm
Kabisa mkuu, wanashindwa kujitambua kwamba wengi wao ving'ang'anizi uzee umewafika, na ni dalili za kufikia ukomo wa kuishi, wasijidanganye spirit iliyokuwepo wakati wa kuanzishwa ccm, ndio ipo sasa kwa wananchi, wakati ule walikuwa wote wana ccm, sasa wamegawanyika vijana wana vyama tofauti, hawa wana piga kelele tu, kama maandiko yaliandika kuanguka kwa tawala za wenye nguvu, itakuwaje ccm itawale milele? Ipo siku.
 
mkuu umongea points sana teh
una understanding kubwas sana mkuu,..
spirit zao wanajitahidi kurithisha kwa vijana wao akina j.makamba,mwinyi,ridhi ,khalfani akna nnauye,..
but watu wamechoka(majority) wamelichoka ccm,....
itakuja kuanguka kwa kishindo then watahaibika vibaya mno,..
af tutabadilisha na sheria
kma rais alifanya makosa ashtakiwe afungwe,...
tutaanza na chain na mmojammoja na vasco msoga akiongoza kula miaka mingi,.jela..
 
Mkuu wanao rithishwa ni wachache, wengi wana tumika tu bila kujielewa halafu wana shaulika si umeona JK juzi anaomba wale vijana 46 wakumbukwe tehehtehehtehe ni kichekesho, wakumbukwe kwa kuwa washatoswa sasa wameenda kumlilia, fikiria wasipokumbukwa watawabeba tena? Upinzani wako zaidi ya 46 na hawahitaji kukumbukwa bali wapo tayari kuwakumbusha viongozi wasonge mbele kudai maslahi bora. Mfano mdogo ni bunge la juzi, upinzani wametoka vifua mbele kuisimamia serikali, sasa hao 46 ndio wataisaidia ccm kutawala milele? Warithi watakimbia nchi wapambe watapiga magoti kuomba suluhu ipo siku.
 
teh
sahihiiiiiiiiiiii mkuu
respect itarudi2
 
Hatuitoi, hatuitoi, kwanza nchi tumeipata kwa mapinduzi hatuwezi kuiacha kwa kura za karatasi labda watupindue, na kutupindua hawawezi maana sisi ndio wenye "MADARAKA". Mareheme Asha Bakari Makame
Mwenye ile video ya huyo Marehemu Asha Bakari Makame alipokuwa akizungumza maneno haya tafadhali tunaomba aiweke hapa mtandaoni ili kuweka kumbukumbu sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…