Naanza kuamini chi inaongozwa nan vichaa na wajinga. Mtu mwenye akili timamu hawezi kutamka maneno kama hayo hadharani. Lakini waru lama Hitler, idi amin na john komba walikuwa na imani kama ya jpmMpaka pale mbadala wa CCM atakapopatikana na kwa hali jinsi ilivyo simuoni siku za usoni!
shetani anaongoza kwa kujifarijiHivi nchi itaachwa iende kwa vibaka?
Hahahaha huyu kajisahau alitaka atobe siri kuwa aligalagazwa sema bila chama kupiga tiktak asingeweza kuwa raisi na si umemmisikia kikwete anasema vijana wa mtandaoni, sasa jiulize kila kijana wa mtandaoni ambaye ni ccm watawezaje kuwapongeza au kuwafikiria? Hapa wamezungumzia kundi maalum lililokua na kazi maalumu na huenda hilo kundi lilishaanza kulalamika kwa kutupwaEti na chama kesha sahau wapiga kura
mbona hata Dr Slaa alishauri viroba vya pombe viruhusiwe!. lilikuwa tamko kwa niaba ya chadema yetu.Bhangi na mirungi vitahalishwa rasmi muda si mrefu kwa mujibu wa mbunge wa ccm 'Msukuma'
Sugu ameweza.Ni kweli hairuhusiwi maana wataivuruga tu nchi. Mfano hai ni majimbo na halmashauri walizoziongoza kwa muda sasa.je kuna maendeleo yoyote?
Halla Magufuli
Wafute tu vyama vingi wabaki wenyewe tujue moja.[/QUOTE
waliovianzisha ndo wavifute wenyewe.
we ni kwa sababu umeshazoea ufisadi na mafisadi. huwezi kwenda na speed ya Magufuli. wapinzani tulikuwa na ajenda ya ufisadi lakini tuliua wenyewe na wananchi wakatupa adhabu. akili mukichwa. watu wamepiga dili la kukaribisha mafisadi wakapata chao wakajikausha. aibuuuuu... naona na wewe ni mmojawaoNitaendelea kuipinga ccm kila kona sitaogopa kufa kwasababu sioni uhai wa nchi chini ya Maccm naichukia ccm kuliko kitu chochote duniani
nenda kamuulize. si rais wa nchi lakini au umesahau.Hivi huyo jamaa ana nafasi gani huko CCM hadi kufikia kutoa kauli hiyo...