Dada wa ughaibuni? Pole sana kama mawazo yake ndo unatembelea!Kumbe yule dada wa mamtoni alisema kweli. Kuwa huyu magu anaingilia huu uchaguzi sababu ya ushosti na huyu mjaluo!! Na ndio anaharibu zaidi. Ndio maana anawalilia Acacia kila siku zababu kenyata nae ana shilingi hapo na kuzuia wakenya wasilete vitu huku ili wakenya wamchukie kenyata....wakiparurana huko.msijekukataa kuwa na nyie mnahusika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise wenzako wanaingia kwa wingi sana Tz.Gari zenye number plate za kenya zimejaa DarHuyu Raila anataka kutufanya kuonekana kama tupo desperate sana kuingia Tanzania. Aongee kuhusu sera za kubuni ajira ili wataalam wetu wabaki ndani.
Atafuata nae kimya kimya....Aise wenzako wanaingia kwa wingi sana Tz.Gari zenye number plate za kenya zimejaa Dar
Aise wenzako wanaingia kwa wingi sana Tz.Gari zenye number plate za kenya zimejaa Dar
Hayo maoni odinga kayapata kutoka kwa wakenya wenzio!
Hii riwaya yako haibadili ukweli kuwa hayo ni maoni ya wakenya wenzio! Kama wewe uliingia jua wako wenzio au mali zao zinazuiliwa!Hapo atakua amechemsha maana sijui ni Wakenya gani hao, ifahamike sio kwamba mpaka wa Kenya na Tanzania umefungwa, kuna wale bado tunaingia na kutoka bila issues, juzi nimekua Singida, Tabora, Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar.
Sasa hao Wakenya anaotaka kuwaombea waingie Tanzania sijui ni kina nani. Bora angeomba twende Marekani tukapige hela kiulaini bila usumbufu lakini sio nchi maskini kama Tanzania. Watanzania wamejaa Kenya wengine wameajiriwa kama walinzi, na kama nilivyosema tunao wengi kwenye barabara zetu kama omba omba na pia pale Gikomba ni kama Dar, na ndio machangudoa wengi pale Majengo.
Mkenya anayekwenda Tanzania labda awe mtaalam au mwana biashara yenye hadhi, na wa aina hiyo hawajazuiwa, mpaka upo wazi ilmradi unafuata vigezo, masharti na sheria za Tanzania.
Mimi nilifikiri labda tatizo ni kuendesha gari lenye namba za nchi yoyoye ya nje! Kumbe tatizo ni namba za kenya tu?Hamna kitu cha ovyo kama kuendesha gari lenye usajili wa namba za Kikenya kwenye barabara zenu, utaagizwa utoe hela za maji hadi utakoma, kwanza kuna jamaa yangu alinyang'anywa simu na hao maaskari.
Hii riwaya yako haibadili ukweli kuwa hayo ni maoni ya wakenya wenzio! Kama wewe uliingia jua wako wenzio au mali zao zinazuiliwa!
Watz waajiriwe Kenya kama walinzi ilihali unemployment rate iko juu Kenya kuliko tz, hayo ni maajabu ya Kenya na misifa mlozoea!
Mwanasiasa anapotafuta kura anaweza kusema chochote. Hata kwenu tuliona wakipiga push up kana kwamba zinahusiana na uboreshaji wa nchi.
Nimekwambia mpaka wa Kenya na Tanzania upo huru na wengi tunaingia na kutoka. Watu ambao hupitia magumu wakati wanaingia Tanzania ni Wasomali wenye paspoti za Kenya. Labda hao ndio Raila atawatetea.
Mimi nilifikiri labda tatizo ni kuendesha gari lenye namba za nchi yoyoye ya nje! Kumbe tatizo ni namba za kenya tu?
Nyie mtakuwa wakorofi sana barabarani ndo maana mnapata shida
Aisee umemugusa huyu jamaa mahali ambapo hakujua panaonekana wakati anaandikaKupiga push up ni kufanya sio kusema!
Hapa tunaongelea kusema na siku zote wanasema mambo yanayosibu jamii kama matatizo wakiahidi kuyatatua!
Halafu ndo maana nyie hamuishi kubaguana! Hao unaowaita wasomali wenye passports za kenya ni raia wa Kenya! Lakini hapa unawabagua kwa kuwaita wasomali!
Dhambi ya ubaguzi haiwaishi nyie watu!
Kupiga push up ni kufanya sio kusema!
Hapa tunaongelea kusema na siku zote wanasema mambo yanayosibu jamii kama matatizo wakiahidi kuyatatua!
Halafu ndo maana nyie hamuishi kubaguana! Hao unaowaita wasomali wenye passports za kenya ni raia wa Kenya! Lakini hapa unawabagua kwa kuwaita wasomali!
Dhambi ya ubaguzi haiwaishi nyie watu!
Sasa kama walipewa unakuja na kigari chako cha nini kama huna hiyo ya kiwi?Kwenu askari walipata ridhaa kutoka kwa mkulu kwamba wawe wanapewa hela ya kiwi.
ask BABA...lolDo we need to go to Tanzania?
kwa sera hiyo, kakosea sana.labda timu yake ya campaign imegundua kuwa vijana wengi waliokosa ajira Kenya wanafikiria kuja tanzania.Huyu Raila anataka kutufanya kuonekana kama tupo desperate sana kuingia Tanzania. Aongee kuhusu sera za kubuni ajira ili wataalam wetu wabaki ndani.