Hapo atakua amechemsha maana sijui ni Wakenya gani hao, ifahamike sio kwamba mpaka wa Kenya na Tanzania umefungwa, kuna wale bado tunaingia na kutoka bila issues, juzi nimekua Singida, Tabora, Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar.
Sasa hao Wakenya anaotaka kuwaombea waingie Tanzania sijui ni kina nani. Bora angeomba twende Marekani tukapige hela kiulaini bila usumbufu lakini sio nchi maskini kama Tanzania. Watanzania wamejaa Kenya wengine wameajiriwa kama walinzi, na kama nilivyosema tunao wengi kwenye barabara zetu kama omba omba na pia pale Gikomba ni kama Dar, na ndio machangudoa wengi pale Majengo.
Mkenya anayekwenda Tanzania labda awe mtaalam au mwana biashara yenye hadhi, na wa aina hiyo hawajazuiwa, mpaka upo wazi ilmradi unafuata vigezo, masharti na sheria za Tanzania.