Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Wanaitwa Wasomali kama jinsi tunao Wamakonde na Wahindi Kenya na Tanzania.
Hapa tunaongelea wakenya na watanzania, kwa maana nyingine tunaongea taifa moja na jingine! Kwenye maongezi kama haya hatuangalii asili ya mtu!
Halafu nikukumbushe kuwa Tukisema wasomali tunamaanisha wana asili ya somalia lakini sio makabila yao. Ukienda Somalia utakuta makabila yako pia!
Hivyo kitendo chako cha kuwaita wasomali kwenye mijadala kama hii ni mwendelezo wa sera zenu zanubaguzi!
Kuhusu eti kuna sijui hotel hao wasomali hawaruhusiwi kuingia, kama ipo hiyo hotel basi ni ya mkenya mwenzio maana nyie ndo mnawabagua! Kama sisi tumewaruhusu kuingia nchini baada ya kujirishisha kuwa wana nyaraka zote muhimu iweje tuwazuie baadhi ya hotel!
Huyo ni mkenya mwenzio anaendeleza ubaguzi wenu! Nyie ni wabaguzi kweli kweli