Magufuli will allow Kenyans into Tanzania if I become president- Raila

Magufuli will allow Kenyans into Tanzania if I become president- Raila

Wanaitwa Wasomali kama jinsi tunao Wamakonde na Wahindi Kenya na Tanzania.

Hapa tunaongelea wakenya na watanzania, kwa maana nyingine tunaongea taifa moja na jingine! Kwenye maongezi kama haya hatuangalii asili ya mtu!

Halafu nikukumbushe kuwa Tukisema wasomali tunamaanisha wana asili ya somalia lakini sio makabila yao. Ukienda Somalia utakuta makabila yako pia!

Hivyo kitendo chako cha kuwaita wasomali kwenye mijadala kama hii ni mwendelezo wa sera zenu zanubaguzi!

Kuhusu eti kuna sijui hotel hao wasomali hawaruhusiwi kuingia, kama ipo hiyo hotel basi ni ya mkenya mwenzio maana nyie ndo mnawabagua! Kama sisi tumewaruhusu kuingia nchini baada ya kujirishisha kuwa wana nyaraka zote muhimu iweje tuwazuie baadhi ya hotel!

Huyo ni mkenya mwenzio anaendeleza ubaguzi wenu! Nyie ni wabaguzi kweli kweli
 
Hizi nisiasa za uchonganishi
Hazifai
Unahisi kaanzisha nani? Zilikuepo kabla ya 2015 ,huyu mkulu kazima bunge anasheria zake za mfukoni hasafiri hata iweje haendi kwenye maafa hatoi kauli zakufariji anatudanganya kila kukicha " unategemea atawafanyia majirani ? Kama walojisumbua kumpigia kura waliambiwa mwafwaa .......
 
Uhuru bado namwona ni kiongozi anaefaa bado kuliongoza taifa la kenya

Ila naamini maamuzi yapo kwa wapiga kura wa kenya..
 
Hapa tunaongelea wakenya na watanzania, kwa maana nyingine tunaongea taifa moja na jingine! Kwenye maongezi kama haya hatuangalii asili ya mtu!

Halafu nikukumbushe kuwa Tukisema wasomali tunamaanisha wana asili ya somalia lakini sio makabila yao. Ukienda Somalia utakuta makabila yako pia!

Hivyo kitendo chako cha kuwaita wasomali kwenye mijadala kama hii ni mwendelezo wa sera zenu zanubaguzi!

Kuhusu eti kuna sijui hotel hao wasomali hawaruhusiwi kuingia, kama ipo hiyo hotel basi ni ya mkenya mwenzio maana nyie ndo mnawabagua! Kama sisi tumewaruhusu kuingia nchini baada ya kujirishisha kuwa wana nyaraka zote muhimu iweje tuwazuie baadhi ya hotel!

Huyo ni mkenya mwenzio anaendeleza ubaguzi wenu! Nyie ni wabaguzi kweli kweli

Somalia hakuna makabila
Kuna watu hutajwa na asili yao, ukikutana na mtu aliyevalia asili ya Kimaasai hapo Bongo huwa mnawaita Wamaasai, au hata mara nyingi unaskia 'Wamaasai wametokea Kenya na kuja Tanzania kufuata nyasi za mifugo'.

Mkenya akiwa na hoteli Bongo hatokua na haja ya kuchagua nani wala nani atakayelala humo, maana anasaka hela.
 
kwa sera hiyo, kakosea sana.labda timu yake ya campaign imegundua kuwa vijana wengi waliokosa ajira Kenya wanafikiria kuja tanzania.

waambieni ukweki hao madogo wanaomaliza vyuo,kwamba hata tz kuna uhaba wa ajira.

Sasa basi inafaa kuboresha sera ili wabaki Kenya badala ya kuja Bongo. Hatuna haja ya kuwaambia, cha msingi ni uchumi uzidi kuboreshwa, maana mwisho wa siku dogo anayekuja Tanzania lazima atakua sio mtaalam maana umri wake wa kupata ujuzi utakua bado, hivyo atakuja kubanana na madogo wa Kitanzania kwenye kubeba mabox na hiyo italeta chuki.
 
Ingekua vizuri upate takwimu za baina ya Watanzania wanaoingia Kenya dhidi ya Wakenya wanaokuja huko. Watanzania wamejaa Kenya kwanza ukienda eneo la Gikomba utadhani upo Dar. Pia barabara zetu zimejaa omba omba kutoka Tanzania.

Hapa namshangaa sana Raila anapataka kuonyesha kwamba tupo desperate kwenda kwa nchi maskini wa kutupwa, bora hata angesema nchi zilizo mbele yetu kiuchumi.

Hapo Tanzania labda wataalam wa Kikenya ndio wanakuja kupiga hela na kugeuza.
Utawala wa magu ameanza kuwafagia taratibu wote mnarudi kwenu Hanna cha maana mnachotuletea zaidi ya HIV tu....[emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada wa ughaibuni? Pole sana kama mawazo yake ndo unatembelea!
Aliyoyasema huyo mange ndo aloyaongea Odinga sasa kwann asiaminiwe kwa ukweli wake....
9b57f5529fd70405f22fa17e54ed7dca.jpg
e0ca9915d2873808d25f50d132a4f5b4.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo atakua amechemsha maana sijui ni Wakenya gani hao, ifahamike sio kwamba mpaka wa Kenya na Tanzania umefungwa, kuna wale bado tunaingia na kutoka bila issues, juzi nimekua Singida, Tabora, Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar.
Sasa hao Wakenya anaotaka kuwaombea waingie Tanzania sijui ni kina nani. Bora angeomba twende Marekani tukapige hela kiulaini bila usumbufu lakini sio nchi maskini kama Tanzania. Watanzania wamejaa Kenya wengine wameajiriwa kama walinzi, na kama nilivyosema tunao wengi kwenye barabara zetu kama omba omba na pia pale Gikomba ni kama Dar, na ndio machangudoa wengi pale Majengo.

Mkenya anayekwenda Tanzania labda awe mtaalam au mwana biashara yenye hadhi, na wa aina hiyo hawajazuiwa, mpaka upo wazi ilmradi unafuata vigezo, masharti na sheria za Tanzania.
Tunataka kila nchi ibaki na watu wake cc tubaki na umasikini wetu tusiwaone huku tutawakata vichwa na nyny bakini na viwanda vyenu...[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio huwa mnawabagua, kwanza kuna hoteli Tanzania haziwapokei Wasomali hata kama wana stakabadhi zote.

Wanaitwa Wasomali kama jinsi tunao Wamakonde na Wahindi Kenya na Tanzania.

Kuna watu hutajwa sana na asili yao kwa mfano hapo Tanzania nimeona Wamaasai wakiwa wamevalia yale mavazi yao ya kitamaduni hamuwaiti kwa majina bali mnaita Mmaasai
Wewe jamaa unajitutumua ila huna hata hoja aisee, unaandika pumba sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom