Magufulification of Africa by Prof. PLO Lumumba

Magufulification of Africa by Prof. PLO Lumumba

Kwahiyo anataka nchi zote za Africa ziendeshwe kwa matukio? (Kiki) kwa akili yangu hii ndo magufulification.
 

a frustrated and an opportunistic professor.. this is a dig aimed at the KE govt after seeing it has neglected him!

Benson Bana naye soon atakuwa kama huyu comic professor!
 
Co cha jembe la mkono tu peke yake cha kukota na ng'ombe,punda mpaka cha trekta
Ahsante kwa majibu mazuri kaka. Lkn jua tunashida kubwa ya wasomi wetu kushindwa kulisaidia taifa letu kupitia taaluma zao. Labda ktk kipindi hiki cha Magufulication ndio wanaanza kuamka.

Asiishie kwenye papers tu aanzishe na mashamba ya teknolojia zake tuige kwa vitendo ndio itakuwa shule ya faida kubwa.
 
Moja ya maprofesa wa hovyo kabisa kupata kutokea barani Afrika!!!

Profesa Mwanasheria ambae role model wake ni kiongozi anayekandamiza demokrasia!!!

Nchi zote duniani ambazo demokrasia imekandamizwa zinakuwa na sifa moja inayofanana: UFISADI!!!

Kutokana na ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza; hata mambo ya hovyo yakifanyika, wananchi wanakuwa hawafahamu na hatimae wanakuja kuumbuka siku wanatoka madarakani!!!

Sasa ni Mwanasheria gani huyu anayeshadadia aina ya uongozi unaoweza kuficha maovu?!!
 
Back
Top Bottom