Magufulification of Africa by Prof. PLO Lumumba

Magufulification of Africa by Prof. PLO Lumumba

Kafanya research mbali mbali ambazo ziliisaidia serikali ya Tanzania hususani sekta ya kilimo
Serikali ya Tanzania imesaidika nini katika kilimo? kuna jambo gani jipya katika kilimo cha Tanzania? KAma kilimo chetu hapa kilipo ni kwaajili ya reseach za huyu bwana, basi anafaa kufungiwa shingoni jiwe la kusagia na kutupwa kwenye kilindi cha bahari.
 
mmmmmmh kuna kitu kigeni kimenishangaza hapa JF....mbona sijaona wale wa kuomba CV ya muhusika??
 
Back
Top Bottom