Serikali ya Tanzania imesaidika nini katika kilimo? kuna jambo gani jipya katika kilimo cha Tanzania? KAma kilimo chetu hapa kilipo ni kwaajili ya reseach za huyu bwana, basi anafaa kufungiwa shingoni jiwe la kusagia na kutupwa kwenye kilindi cha bahari.