Magufulification of Africa, kauli iliyo hai Covid-19 inaprove hii fact.

Wewe wenzio wanapima na ku isolate na wameona progress kuwa wanafungua.Sisi watu wanakufa hata kuisha tutajua ni lini kwani watu hawaambiwi .Mimi nimezika ndugu yangu jtatu wiki hii hapo kwa kondo hali bado ni mbaya siku hiyo nilihesabu makaburi mapya 20 na bado ilikuwa saa tano asubuhi .Wale wahudumu wa makaburi wakasema mbona leo bado mapema yataongezeka tu na bado ujahesabu Kule kwa waislam.So ndugu jikinge serikali hii haina mpango wa kukukinga na bado ukiugua gharama ni zako na sio mchezo Oxygen kwenye private hospital sio chini ya 1m kwa siku ICU .Government hospital ukiwewa kumshukuru Mungu .Kuomba tunaomba kila siku ila Mungu anawalinda wajilindao.Maria aliambiwa mtoe mtoto Yesu farao anataka kumwua ,kwani Mungu alishindwa kumshughulikia Farao ?Omba pia jikinge
Mkuu hata huko Italy, Spain, na USA ilifika wakati watu wakipimwa na kukutwa na ugonjwa wanaambiwa rudi nyumbani kajitenge, ukizidiwa kama kukosa pumzi au homa kali piga simu au rudi hospital.
Huko nako wanafungulia watu na kuondoa mashariti.

Kufiwa inauma sana lakini ndiyo hakuna namna watu lazima tu watakufa, tukifungia watu ndani wanaweza kufa njaa tena watu wengi zaidi hata wale ambao kabla walikuwa na afaya njema.

Jambo la msingi tuchukue tahadhari na kumuomba Mungu, tujaribu na tiba mbadala zinazo semekana kupunguza makali ya ugonjwa huu kama tangawizi, pilipili kichaa, malimao na kadhalika. Kwanza hivi vitu vina faida nyingine kubwa za kiafaya, ni tibalishe.
 
Mkuu hata huko Italy, Spain, na USA ilifika wakati watu wakipimwa na kukutwa na ugonjwa wanaambiwa rudi nyumbani kajitenge, ukizidiwa kama kukosa pumzi au homa kali piga simu au rudi hospital.
Huko nako wanafungulia watu na kuondoa mashariti.

Kufiwa inauma sana lakini ndiyo hakuna namna watu lazima tu watakufa, tukifungia watu ndani wanaweza kufa njaa tena watu wengi zaidi hata wale ambao kabla walikuwa na faya njema.

Jambo la msingi tuchukue tahadhari na kumuomba Mungu, tujaridi na tiba mbadala zinazo semekana kupunguza makali ya ugonjwa huu kama tangawizi, pilipili kichaa, malimao na kadhalika. Kwanza hivi vitu vina faida nyingine kubwa za kiafaya, ni tibalishe.
Sasa nyie nani anawapima!kama unakisukari au matatizo mengine ya afya hiyo tangawizi tunakusaidiaje.Haya unarudi nyumbani wenzako wana system ya kukufuatilia na ukizidiwa Luna facilities za kutosha sisi uzidiwe uone kama una bima au hela ya private hospital ndio utaijua Tz ni wewe na maisha yako
 
Wewe wenzio wanapima na ku isolate na wameona progress kuwa wanafungua.Sisi watu wanakufa hata kuisha tutajua ni lini kwani watu hawaambiwi .Mimi nimezika ndugu yangu jtatu wiki hii hapo kwa kondo hali bado ni mbaya siku hiyo nilihesabu makaburi mapya 20 na bado ilikuwa saa tano asubuhi .Wale wahudumu wa makaburi wakasema mbona leo bado mapema yataongezeka tu na bado ujahesabu Kule kwa waislam.So ndugu jikinge serikali hii haina mpango wa kukukinga na bado ukiugua gharama ni zako na sio mchezo Oxygen kwenye private hospital sio chini ya 1m kwa siku ICU .Government hospital ukiwewa kumshukuru Mungu .Kuomba tunaomba kila siku ila Mungu anawalinda wajilindao.Maria aliambiwa mtoe mtoto Yesu farao anataka kumwua ,kwani Mungu alishindwa kumshughulikia Farao ?Omba pia jikinge
Asee kwahiyo vipi tunapukutika sivyo mkuu.?
 
Mkuu hata huko Italy, Spain, na USA ilifika wakati watu wakipimwa na kukutwa na ugonjwa wanaambiwa rudi nyumbani kajitenge, ukizidiwa kama kukosa pumzi au homa kali piga simu au rudi hospital.
Huko nako wanafungulia watu na kuondoa mashariti.

Kufiwa inauma sana lakini ndiyo hakuna namna watu lazima tu watakufa, tukifungia watu ndani wanaweza kufa njaa tena watu wengi zaidi hata wale ambao kabla walikuwa na faya njema.

Jambo la msingi tuchukue tahadhari na kumuomba Mungu, tujaridi na tiba mbadala zinazo semekana kupunguza makali ya ugonjwa huu kama tangawizi, pilipili kichaa, malimao na kadhalika. Kwanza hivi vitu vina faida nyingine kubwa za kiafaya, ni tibalishe.
Hatubezi ugonjwa huu, lakini kiukweli ukiwasikiliza wana siasa wenye kutafuta umaarufu kupitia huu ugonjwa unaweza ukaogopa sana na kudhani muda wowote utakufa kwa corona.
 
Back
Top Bottom