Magufulification of Africa, kauli iliyo hai Covid-19 inaprove hii fact.

Mkuu hata huko Italy, Spain, na USA ilifika wakati watu wakipimwa na kukutwa na ugonjwa wanaambiwa rudi nyumbani kajitenge, ukizidiwa kama kukosa pumzi au homa kali piga simu au rudi hospital.
Huko nako wanafungulia watu na kuondoa mashariti.

Kufiwa inauma sana lakini ndiyo hakuna namna watu lazima tu watakufa, tukifungia watu ndani wanaweza kufa njaa tena watu wengi zaidi hata wale ambao kabla walikuwa na afaya njema.

Jambo la msingi tuchukue tahadhari na kumuomba Mungu, tujaribu na tiba mbadala zinazo semekana kupunguza makali ya ugonjwa huu kama tangawizi, pilipili kichaa, malimao na kadhalika. Kwanza hivi vitu vina faida nyingine kubwa za kiafaya, ni tibalishe.
 
Sasa nyie nani anawapima!kama unakisukari au matatizo mengine ya afya hiyo tangawizi tunakusaidiaje.Haya unarudi nyumbani wenzako wana system ya kukufuatilia na ukizidiwa Luna facilities za kutosha sisi uzidiwe uone kama una bima au hela ya private hospital ndio utaijua Tz ni wewe na maisha yako
 
Asee kwahiyo vipi tunapukutika sivyo mkuu.?
 
Hatubezi ugonjwa huu, lakini kiukweli ukiwasikiliza wana siasa wenye kutafuta umaarufu kupitia huu ugonjwa unaweza ukaogopa sana na kudhani muda wowote utakufa kwa corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…