LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire.
Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki.
Kwanini ? Uwepo wa Maguire kikosini umeongeza maradufu mapato ya Man U kwa sababu sasa hivi mabilioni ya watu duniani wanafuatilia mechi za Man U ili kutazama vituko vya Maguire.
Inatajwa kwamba sasa hivi Man U ndio timu inayo ongoza mechi zake kutazamwa duniani jambo ambalo limeiongezea club mapato mengi huku sababu kuu ikiwa ni Maguire.
Mimi ni shabiki wa Arsenal, Man U ni timu ambayo inaboa sana kuitazama ikicheza lakini kwa sababu ya Maguire nimekuwa nikitazama mechi za Man U kila inapo cheza ili nione vituko vya Maguire.
Maguire mbele kwa mbele