Magwanda ya jeshi yamponza Diamond, Sasa ni jela miaka 15

Tutaandamanaaa police weeeeee
Wathubutu kumfanyia hivyoo
 
huyu c ndo swahiba wa mzee wa kaya hata collabo za nje mzee wa kaya huwa anasimamia na mzee wa kaya cndo general wa majesh ya ulinzi na usalama sasa ngoja uone kama ataguswa
 
Yani nimecheeka,kupenda misifa kunamponza!Ila simwombei mabaya apige tu push up,sidhani kama Mfalme mwenyewe anapendezwa na hili,jamani akiwa huko akitoka atasema mfalme kabebwa,bora abaki nje wapige kazi tuburudike

hahahaaaaaa
 
ivi ameshahukumiwa

Mahakama ya Jf imeamuru bila huruma miaka 15 jela na viboko 24,12 siku anaingia jela,12 siku anatoka akamuonyeshe Wema Sepetu.Cooooooouurtt....
 
Diva Beyonce bila kusahau warumi na matola msanii wetu bilionea anaenda kunyea debe segerea na viboko thirty wakati wa kuingia na thete wakati wa kutoka.
Hata laki si pesa kanga moko ndembe ndembe nakuita huku nyumba inaungua!
 
Last edited by a moderator:
Tutolee ujinga hapa..............

miaka 15 utaendelea kuiskia hapa hapa JF

pamoja na kwamba nakupenda sana ila nashindwa kuongea lakini kuhusu swala la ndomo na mfalme Kiba mimi na wewe ni mbingu na ard...eh kuna boda boda inapiga mwana hapa, ngoja niserebuke kidogo.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…