Magwanda ya jeshi yamponza Diamond, Sasa ni jela miaka 15

Wacheni hizo.
Diamond hakuvaa nguo za jeshi la JWTZ .Amevaa nguo style ya coamaflag ya jeshi ambazo wasanii wengi hutumia na hata actors wengine hutumia.
Jeshi JWTZ lilikataza kuvaa nguo zao uraiani na pia ukivaa uniform za usa au france au uganda hawawezi kukataza mavazi hayo hayawahusu kutumiwa na wasanii

Na zoezi zima lenyewe halina mshiko kikatiba na hakuna sheria inayokataza wasanii kutovaa nguo hizo katika kazi zao.
Amri za jeshi sio msahafu nchi haindeshwi kijeshi kuna katiba na sheria na mahakama.
Mtu kuvaa nguo za jeshi mitaani hapo sio sawa kwani raia watashindwa kutambua kama ni raia au mjeshi.
Kwenye usainii hili ni jambo la kawaida sana ndio maana tuna movies full combat.
Kuna movies navy seal ni real USA combat
Kuna us-vietcom films za kina rambo na chuck norris ni full real combat.
Mnajaribu kuwashawishi JWTZ Kufanya kitu kinyume kwa chuki.
In fact wenzetu hutumia Holywood kupromote nguvu ya jeshi lao na mwelekeo wa jeshi lao.
Sioni tatizo wasanii kutumia sare za jeshi .
Wasanii hutumia nguo za mapadri au masheikh au za majaj katika lazi zao na sio nongwa.
Ukivaa uraiani hapo hatukuelewi na utakua kituko
 

Du na juzi kwenye sephora show kasema kuwa rais JK huwa anampigia simu mara kwa mara kumsalimia du
 
CAN U ALL F.U.C.K.E.N People, Stop Talking About that F.U.C.K.E.N diamond Boy, We are All F.U.C.K.E.N tired of Hearing is .F.U.C.K.E.N name, all the F.U.C.K.E.N time, I think iam going mental any F.U.C.K.E.N time now, if i hear that .F.U.C.K.E.N #shitt about Leaders AGain, Ya'll .F.u.c.k.e.n. People Need to Grow Some F.u.C.k.E.N balls and tell the boy Face to Face, instead of using .F.U.C.K.E.N. Fake ID. For F.u.c.k.Sake...#iam ..f.u.c.k.e.n..outchea
 

Umelazimishwa kusoma uzi huu?

Kimekuwasha nini kuingia kusoma, kama una stress zako taguta wasanii wengine wa kuwaongelea wapo wengi au ziba madirisha ya unapoishi na matofali usione na giza.

Wivu.com

Inaelekea haupatiwi yanayostaili kupatiwa wanawake embu kasawazishe matatizo yako.
 

naona gazeti reeeeefu,,,,unachomchukia nini au ukweli gani unaomwambia ambao unaona anakosea! nijibu tu usilete gazeti
 
Wabongo viroho vinawapaa dogo kupiga mpunga wakati nyie mkipiga majungu kitaa!!!
 

Njoo nikubanjue hiyo k yako upesi.
 

Acha kubwabwaja kama umekojoa kitandani bhana au ndio nyie kitu iko kwenye k afu upo jf hahshahahag stop taking ur rubbish.


 
naona gazeti reeeeefu,,,,unachomchukia nini au ukweli gani unaomwambia ambao unaona anakosea! nijibu tu usilete gazeti

Ndo uwezo wako wa kufikiria chuki ulipoishia poor mind huyu domo mashabiki zake sijui wakoje kila kitu chuki wivu hamnaga point nyingine hunijui unakuja na nyimbo za chuki nendeni shule mkaongeze uelewa ndo mana hata barua mlishindwa kuandika vzuri kubishana na poor mind ni shida ua not my level ku discuss na wewe njoo na point nyingine ndo tu argue
 
ha ha ha naona gazeti jingine tena! Eti una shule,,my foot! Mwenye shule anakuwa kama wewe?
Umesema huna chuki nae ila ukweli mnasema,,,ss ndo uniambie ukweli gani dhidi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…