Magwanda ya jeshi yamponza Diamond, Sasa ni jela miaka 15

Magwanda ya jeshi yamponza Diamond, Sasa ni jela miaka 15

Humu watu wana Joto na hasira na maisha yao, mtu ana aamka saa 11 Alfajir anagombea daladala kurudi saa2 usiku na degree yake afu mshahara laki4 ataacha kumchukia mtu bila sababu kweli aliyeishia O level?
Hembu waulize sababu hasa wanayo mchukia huyo Diamond kama wanayo basi, sana sana watakuambia ana Show off? Ha ha ha ha Jealous bana!!

Do not judge a book by its cover judge what is inside umejua kuwa ni chuki kisa wana comment usichotaka all in all education is the key ya maisha hayo mengine maneno ya kujifariji
 
Do not judge a book by its cover judge what is inside umejua kuwa ni chuki kisa wana comment usichotaka all in all education is the key ya maisha hayo mengine maneno ya kujifariji

Mfano wewe hebu niambie unachomchukia ni nini? Yeah i know, education is the key lakini pia inauma kuona mtu hajasoma afu amekupiga bao kwa mafanikio ili hali mtu umesotea miaka nenda Rudi.
 
Samahani kwa swali hili.Uliyeweka post hii ni Me au Ke?
 
Nimecheka mpaka watu wamenishangaa, JF ni kiboko.
 
Mfano wewe hebu niambie unachomchukia ni nini? Yeah i know, education is the key lakini pia inauma kuona mtu hajasoma afu amekupiga bao kwa mafanikio ili hali mtu umesotea miaka nenda Rudi.

Ha ha poor argument ndo mana nimekwambia usiki judge kitabu kwa cover umejuaje na chuki? Siwezi kuumia na mtu ambaye hana shule na hawezi ni pga bao hata chembe ndo mana hata anafanya ujinga akiambiwa mnakimbilia chuki maneno kibao angeenda shule angekuwa far kuliko alipo sasa anakimbilia maneno na malalamiko ha ha am far kuliko yeye ndo mana mashabiki wamemzomea mnakimbilia kuambiwa watu wana chuki kwa lipi hasa alokua nalo hivi angekua na level ya Jide ingekuwaje more than ten years kwenye game rudini shule ili hata muwe mna argue kiakili hiyo ya gap sijui nini ni nonsense walioenda shule wakiteleza wana seek advice sio kukimbilia kulaumu wengine
 
eti walikodiwa Watu kumzomea kama nikweli inauma sana siofresh babuu. Ili inauma unaimba nataka kulewa alafu mashabiki wanaimba macmuga kama nimimi nawahi kutengeneza rmx
fastaaaa
 
Yule msanii anayesemekana kuwa ni bilionea kuliko msanii mwingine yeyote Tanzania ambaye pia ameanza kujenga hekalu lake huku likiwa halijakamilika kwa mvua tatu sasa (miaka mitatu), ambaye pia amekuwa akiwafunika wasanii wote wa Tanzania kwa shoo kali na ghali, ambaye pia amekuwa akiombwa namba za simu pamoja na collabo na wasanii wa Marekani akiwemo Chriss Breezy mkali wa so cold na with you bila kusahau forever, lakini yeye huwakatalia kutoa namba na collabo kwa sababu ni mkali mno.

Msanii ambaye vilevile Mbeya nzima hakuna Hotel ya kulala yeye wakati huo huo amepanga magheto mawili yenye price ya thirty five thousands huko maeneo ya Sinza, sasa mashabiki kama si wa Keko, Ukonga au Segerea, nyimbo kama kamwambie, my number one na kitorondo hazitakuwa ngeni masikioni mwao kwa sababu burudani hiyo mujarabu watakuwa wakiipata face to face tena bure kabisa kutoka kwa Diamond kwa sababu sasa atakuwa akilala na kuamkia jela kwa kwa fifteen years period na hata uji wa mahindi wa kesho uliowekwa chumvi ataanza kuuupata huko na kama hili litafanyika, basi atatoka akiwa na umri wa January Makamba.


Hii imetokana na msanii huyo nguli kabisa kutinga gwanda za kijeda na kukatia miuno jukwaani wakati wa shoo fiesta mwishoni mwa wiki jana.

Pamoja na mbwembwe hizo, mashabiki walionekana kumzomea na kutaja jina la mfalme Kiba mzee wa cinderela macmuga na mwana.

Kwa mujibu wa magazeti, inasemekana jamaa zake wa karibu walimwambia kuhusu hizo gwanda lakini alitia ngumu.

Kwa undani wa habari hizi jisomee gazeti la leo la lete mambo na Visa.

Kweli umaamuma ni mzigo sasa kwa ku cite vitu gani tuone kwamba kweli miaka 15 amefungwa wewe ni mbumbumbu wa mwisho sijapata kuona Afrika mashariki na kati....
 
Kweli umaamuma ni mzigo sasa kwa ku cite vitu gani tuone kwamba kweli miaka 15 amefungwa wewe ni mbumbumbu wa mwisho sijapata kuona Afrika mashariki na kati....

Nyoko sana wewe na unat... na dadamond.
Usinitafutie ban hapa.
 
Da!sasa mbona post yako haieleweki amehukumiwa miaka 15 au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
una lako jambo.
1. Kwani ni wongo kama ndoma hana mjengo mkubwa kabisa wenye swimming pool unaogoma kumalizika hadi leo?
2. Je ni uongo kuwa ma pro wake akina hod wamekuwa hawaji hapa na kusema ndomo ameombwa namba za simu na lundo la wasanii wa marekani kama akina chris lakini amekuwa akiwakatalia.
3. Je ni uongo kuwa pro wake huwa hasemi kuwa bosi wake ndomo ndio msanii ghali afrika mashariki?
4. Je ni uongo kuwa mbeya nzima hakuna hoteli ya kulala msanii wenu kwa sababu ya hadhi yake?
5. Je si kweli kuwa domo alisema atamsaidia mfalme wa tanzania kimziki ali kiba eti akihitaji collabo lakini sisi tukamwonesha yeye ni nani na kiba ni nani katika tanzania hii tena mbele ya swahiba wake davido na ti!

wivu.com mtupu weye

roho mbaya yako uliyofanya umeyaona au ndio nyie hamnazo akili za kujijenga mnakalia kwenda kwa waganga kujaribu shusha wenzenu

tena unasomewka kama upo msanii au mtu wa muziki

weye pool yako huna unaongeaaaaaaaa

eti mlimuonyesha si wivu huo so mlipanga kufanya makusudi na kiba anayeimba nyimbo za kitandani,

nyota ya diamond hamuwezi iua wivu mtupu weye mtu mzima

jua mie ni wale wasiopenda watu wenye wivu.

Sasa wekeni sow ya huyo kiba laki moja kwa kichwa pajae na watu wasubirie nje, diamond alifanyaga ile ya nusu yake ikawa shida.

Acha wivu wivu wivu a wenzako

yes umeandika kama vile mtu uliyepania mwenzio ashuke, ingekuwa hivi hata nigeria mngewaona akina davido, psquare etc wakiwa bado wanatamba.

Wanaume wazima hamna aibu
 
Ujinga kweli umejaa

T.I aliyekuja juzi mkajazana nae umejiuliza alienda jela mara ngapi na bado hao wakamuita kuja kutumbuiza, mboa hawakuita wengine wengi huko.

so jua jela haimmaliziii mtu au kumuulia nyota ukiwa nayo unayooooooooooo

wivuweye.com
 
.. stata mzuka nani alikuambia kusoma ndyo utapiga bao ktk maisha...kusoma ni kwa faida yako mkuu.upande wa diamond yeye katumia kipaji chake vizuri hadi kapiga hatua.....yeye hata akijiangalia anajua kabisa kasogea kidogo kimaisha kutoka kuuza mitumba hadi kuwa star si mchezo,hata mabilionea marekani wengi wao walikimbia shule na walianza biashara zao from scratch
 
Last edited by a moderator:
Ujinga kweli umejaa

T.I aliyekuja juzi mkajazana nae umejiuliza alienda jela mara ngapi na bado hao wakamuita kuja kutumbuiza, mboa hawakuita wengine wengi huko.

so jua jela haimmaliziii mtu au kumuulia nyota ukiwa nayo unayooooooooooo

wivuweye.com

kweli kabisa wasani wa marekani ndy wana mikasa na kashfa kibaooo lkn wabongo hatuwaoni mabaya yao wanayofanya......
 
Hahahahahaha..daah jf ni raha sana huwezi kufa na stress walahi
 
Ha ha ha ha uzi umenichekesha sana wamsamehe tu bure kijana wa watu mana amekuwa na gundu tangia u Germany Uk na fiesta watampa pressure bora wamrushe kichura au wampigishe mbizi ili aendeleze gurudumu la mziki wakimfunga hatutaskia vitorondo tena

Germany na UK kilitokea nin tena??
 
Back
Top Bottom