Magwiji wa IT wazifutilia mbali acount za kimbeya inster imo na ya mwana dada mange

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu

Wale magwiji na wababe wa vita za kiait huko inster wamefutilia mbali acount zenye wafuas wengi za kimbeya mbeya

Acount ya mange nayo pia imefutiliwa mbali na kwa sasa ni marue rue tu

LONDON BABY
 
London baby vipi ile single yako ishakamilika? Itupie kama vp tukusaidie kushea
 
Instagram wenyewe ndiyo wame I shutdown kwa muda baada ya kuripotiwa mara nyingi kuwa na content zisizofaa!! Hao wataalamu wako "waait" hawawezi kupunguza wala kuongeza chochote kwenye mtandao wa mtu! Hao ni machoko tu!
 
Kwani MK ni tishio?
 
Mkuu watalamu wangu?
nan kasema kuwa mimi nina watalam
 
Hizi ndo akili za watu wa kijijini unadhani kuifuta acnt ya mtu inst ni sawa na kulima matuta ya viazi [emoji15][emoji13][emoji13]kweli wewe ni kilaza [emoji23][emoji23]
 
Labda itakuwa imesitishwa kwa muda
 
Tumehamia kwenye app yake mambo hadharani huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…