Magwiji wa IT wazifutilia mbali acount za kimbeya inster imo na ya mwana dada mange

Picha mbili passport size,na barua ya mtendaji Wa kijiji basi account saa hiyo,Ila ATM card itabidi kusubiri kidogo,NMB bank lkn benki zingine sijui wana utaratibu gani kwa kweli.
umesahau na taratibu za kufungua account za insta?

msaada
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu

Wale magwiji na wababe wa vita za kiait huko inster wamefutilia mbali acount zenye wafuas wengi za kimbeya mbeya

Acount ya mange nayo pia imefutiliwa mbali na kwa sasa ni marue rue tu

LONDON BABY
acha kushabikia mambo ya kishoga hayooo!!!! wewe umepata faida gani ktk hilo???? kama sio ujinga kichwani mwako!!!
 
Wabongo bwana wengine wanam miss mdada wa watu hadi akili zimewaruka, wengine hasa chama cha mbogamboga walifurahi sana maana kiki yao kwa Wema ilibumburushwa mapema
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu

Wale magwiji na wababe wa vita za kiait huko inster wamefutilia mbali acount zenye wafuas wengi za kimbeya mbeya

Acount ya mange nayo pia imefutiliwa mbali na kwa sasa ni marue rue tu

LONDON BABY
acha kudanganya watu.unapo kuwa reported sana.admin anaweza kukuondoa.unapo kiunga kwenye mitandao ya kijamii usomagi policy and term
 
Picha mbili passport size,na barua ya mtendaji Wa kijiji basi account saa hiyo,Ila ATM card itabidi kusubiri kidogo,NMB bank lkn benki zingine sijui wana utaratibu gani kwa kweli.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ngoja Mange afanikiwe kuirudisha, moto wake itabidi wakamnyang'anye na simu tu
 
Picha mbili passport size,na barua ya mtendaji Wa kijiji basi account saa hiyo,Ila ATM card itabidi kusubiri kidogo,NMB bank lkn benki zingine sijui wana utaratibu gani kwa kweli.

hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa umepinda mkuu
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu

Wale magwiji na wababe wa vita za kiait huko inster wamefutilia mbali acount zenye wafuas wengi za kimbeya mbeya

Acount ya mange nayo pia imefutiliwa mbali na kwa sasa ni marue rue tu

LONDON BABY
Kama tayari hizo acc. Zina wafuasi watakutana mahali pengine
 
Back
Top Bottom