Magwiji wa IT wazifutilia mbali acount za kimbeya inster imo na ya mwana dada mange

Magwiji wa IT wazifutilia mbali acount za kimbeya inster imo na ya mwana dada mange

Nimeumia sana nimefedheheshwa sana na kupotea kwa Account ya Mange Kimambi kwa hali hiyo kuanzia sasa bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeamua kujitoa Instagram kwa sasa.
 
Poa naona dada yake mange umekuja kutoa taarifa
 
Inashangaza sana!Kumkosa Mange kuna mtu analalamika sana kama vile kanyimwa unyumba mwaka mzima!
 
Back
Top Bottom